Home
Unlabelled
Siku ya kwanza mzigoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli ameanza kwa kasi na ari mpya.Tunamuomba asipunguze kasi.
ReplyDeleteKazi nzuri Michuzi
Hongera zake. Cha muhimu asisahau ahadi zake. Mimi nafikiri tofauti na waliohitaji kupata nafasi ya kugombea ndani ya CCM na wagombea wengine yeye alichimbukia kwa masikini.Vuguvugu la masikini liliwapasha joto hata wenye nafasi nao wakaona dole tupu kwa JK. Awakumbuke masikini wa nchi yetu.
ReplyDeleteHilo moja la pili yaani Michuzi umetuletea hata picha ya Ikulu ndanindani kabisa. We mkali.
Tunamtakia kila la kheri.Michuzi kazi nzuri sana unayofanya.Unajua zamani zile kupata picha kutoka ofisini kwa raisi ilikuwa ni sawa na muujiza.Kumbe hata yeye anatumia LG Flat monitor 17 inches!!!.
ReplyDeleteTunakushukuru sana michuzi. ninanshukuru sana kaka msangi ana macho makali, sikuona kama kula falt monitor pale. nitashukuru pia kama mh. raisi anaweza kuitumia maana nasikia ni wengi kompyuta zao huwaga zinafutwa vumbi tu!
ReplyDeletenimesoma makala moja jana kwenye mtandao wa ipp kuwa serekali inafikiria kupandisha mgawo wake kutoka migodini kufukia 10 % ifikapo 2010 nadhani, na sasa wanarudia mkataba. hilo litakuwa ni jambo jema sana na naona labda hiyo ndo kasi mupya! mzee michuzi, nadhani ile kompyuta imeungwa kwenye mtandao. naomba umshauri muheshimiwa naye afungue blogu!
cheers