Home
Unlabelled
Heshima za Mwanzo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mkubwa hakika tunapata kwa muhtasari yanayotokea dar kwa tupicha twako. Lete mambo, mimi nakuaminia babake.
ReplyDeleteHata mimi nakuaminia. Ila ukikutana na huyu rais mpya mwambie asiibe sana...achukue kidogo!
ReplyDeleteMichuzi kaza buti nadhani hata ukipewa hako kamadaraka fulani usikimbie bloguni na kutupa kamera. Nakuombea maana mwaka huu webu wanamagazeti
ReplyDeletenimeipenda suti yake nyeusi na tai
ReplyDeleteMwanzo huwa ni heshima, Mwisho lazima iwe ni matusi?
ReplyDeletePicha nzuri sana. Nitaiweka kwenye kumbukumbu zangu.
magwaride ni miongoni mwa vitu vinavyowachengua sana watanzania kiasi kusahau umasikini na ukali wa jua unaowakumba! jinsi alivyokagua gwaride kwa unadhifu kunamhakikishia mkulu tiketi ya kurudi ikulu 2010.
ReplyDeleteMICHUZI,YULE JAMAA KULE JUU YA PAA ANA BIMA YA MAISHA?NADHANI WANJA JIPYA LITAFUNGWA KAMERA SPESHO KABISA!
ReplyDelete