SIKU YA KWANZA KAZINI: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akila mzigo ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo 22/12/05

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kweli ameanza kwa kasi na ari mpya.Tunamuomba asipunguze kasi.
    Kazi nzuri Michuzi

    ReplyDelete
  2. Hongera zake. Cha muhimu asisahau ahadi zake. Mimi nafikiri tofauti na waliohitaji kupata nafasi ya kugombea ndani ya CCM na wagombea wengine yeye alichimbukia kwa masikini.Vuguvugu la masikini liliwapasha joto hata wenye nafasi nao wakaona dole tupu kwa JK. Awakumbuke masikini wa nchi yetu.

    Hilo moja la pili yaani Michuzi umetuletea hata picha ya Ikulu ndanindani kabisa. We mkali.

    ReplyDelete
  3. Tunamtakia kila la kheri.Michuzi kazi nzuri sana unayofanya.Unajua zamani zile kupata picha kutoka ofisini kwa raisi ilikuwa ni sawa na muujiza.Kumbe hata yeye anatumia LG Flat monitor 17 inches!!!.

    ReplyDelete
  4. Tunakushukuru sana michuzi. ninanshukuru sana kaka msangi ana macho makali, sikuona kama kula falt monitor pale. nitashukuru pia kama mh. raisi anaweza kuitumia maana nasikia ni wengi kompyuta zao huwaga zinafutwa vumbi tu!

    nimesoma makala moja jana kwenye mtandao wa ipp kuwa serekali inafikiria kupandisha mgawo wake kutoka migodini kufukia 10 % ifikapo 2010 nadhani, na sasa wanarudia mkataba. hilo litakuwa ni jambo jema sana na naona labda hiyo ndo kasi mupya! mzee michuzi, nadhani ile kompyuta imeungwa kwenye mtandao. naomba umshauri muheshimiwa naye afungue blogu!

    cheers

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...