Sekioni David, maarufu kama Seki, ni muasisi wa (sijui kiswahili chake) Stand up comedy bongo, na anaishi vizuri tu kwa tenda za hapa na pale. hapa ni kwenye sherehe za PPF ambako alialikwa. Kiushkaji anachaji 200,000/- kwa saa. Mpo jamani? Yeye ni hodari kuiga sauti za viongozi wote wa dini na serikali. utachoka utapomsikia akimuigiza mwalimu nyerere ama mchungaji kakobe ama pius msekwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. 'Stand up comedy' labda haina kiswahili chake. Ila si tutunge tu? 'mcheshi wa wimawima'???....

    Nice to know siku hizi bongo vijana wanapewa fursa ya kujieleza kinamna hii...

    ReplyDelete
  2. Hivi michuzi,safari ya SEKI ya shule iliishia wapi??????

    ReplyDelete
  3. Nadhani stand up comedy tunaweza kuiita Vichekesho wima kwa kiswahili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...