
Sekioni David, maarufu kama Seki, ni muasisi wa (sijui kiswahili chake) Stand up comedy bongo, na anaishi vizuri tu kwa tenda za hapa na pale. hapa ni kwenye sherehe za PPF ambako alialikwa. Kiushkaji anachaji 200,000/- kwa saa. Mpo jamani? Yeye ni hodari kuiga sauti za viongozi wote wa dini na serikali. utachoka utapomsikia akimuigiza mwalimu nyerere ama mchungaji kakobe ama pius msekwa
'Stand up comedy' labda haina kiswahili chake. Ila si tutunge tu? 'mcheshi wa wimawima'???....
ReplyDeleteNice to know siku hizi bongo vijana wanapewa fursa ya kujieleza kinamna hii...
Hivi michuzi,safari ya SEKI ya shule iliishia wapi??????
ReplyDeleteNadhani stand up comedy tunaweza kuiita Vichekesho wima kwa kiswahili.
ReplyDelete