Wapenzi wa Yanga wakishangilia ubingwa wao klabuni pao mtaa wa Jangwani na Twiga Dar. Semkae Kilonzo Upo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Nipo mazee! Na bado. Ngoja turekebishe mambo yetu tutakuwa klabu kubwa yenye asset nyingi kuliko zote Afrika.

    ReplyDelete
  2. Michuzi ingawaje wewe ni Wekundu wa 'Kariakoo', lakini hapa umeonyesha maadili ya uandishi wa 'nongwa' (habari). Haujaonyesha mahaba yako na umeweka bayana yanayotokea. Kwa sasa hilo ndio chama la mabingwa wa ligi ya Vodacom. Kwa Kizungu 'the Champs'. Linafagiliwa mpaka na Jakaya hilo. Nani kama Yanga Bwana?

    Nakubaliana na Semkae kuwa sasa tuna ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Kwa msiofahamu hata Prez Jakaya aliitoa slogan hii Yanga. tuliiasisi sisi, halafu yeye kwa kuwa ni mshikaji wetu tukampa. Nadhani matokeo yake hayahitaji mtu kuwa profesa kujua kuwa yeye sasa ni mkazi wa karibu na soko la samaki kule magogoni.

    ReplyDelete
  3. Mwaipopo umenoa. mie si mwekundu wa msimbazi wala kijani wa jangwani, ni bluu wa swahili, if you know whatamsaying. vile vile i neva wok aloni (hahahahaaa!)

    ReplyDelete
  4. Nimekupa MICHUZI!mimi najua wewe na tukuyu stars kama sio lipuli ni damu dam.Au unataka kusema huna timu bongo kama wasemavyo wenzio wanaojiita arsenal!!!!!!!!!!!!
    NYUMBANI NI NYUMBANI,HATA KAMA KICHAKANI!!!!!!!
    LIPULI ENH,TUKUYU HUREEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  5. Nimekupa MICHUZI!mimi najua wewe na tukuyu stars kama sio lipuli ni damu dam.Au unataka kusema huna timu bongo kama wasemavyo wenzio wanaojiita arsenal!!!!!!!!!!!!
    NYUMBANI NI NYUMBANI,HATA KAMA KICHAKANI!!!!!!!
    LIPULI ENH,TUKUYU HUREEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  6. Michuzi ni Simba mie nakufahamu. Wakati fulani nimewahi kuripoti kwenye gazeti la noise moja. Anyway it did not last long. Lakini as a novice reporter nilikujua tuu as you were talking to wengine (wabongo wengine wanasema 'wangine).

    Ingawaje huwa-ga hujibu maswali ya kadhia, hivi wa bluu wa Swahili ndio Pan African nini?

    ReplyDelete
  7. yanga hamna dili wala nini.mi nawamind tu....nasikitika sana kwa niaba ya wekundu wote...ila wani dei yesi...hehehehehee....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...