Home
Unlabelled
maalim
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dont give up mr shariff!
ReplyDeletenawaunga mkono watoa hoja wote wawili mulioongea hapo juu. kwanza kabisa naanza kwa kuwapinga wakuu wa mikoa na wilaya wachache wanaomshauri shariff asiingize tena timu kwenye kinyang'anyiro. mbona bado ni kijana? au kumkwapua kura mara tatu ni mbinu ya kumuua? nadhani hatma yake hi huko huko ndani ya chama chake...si vyema kuteua mtu ambaye huko teyari kumpigia kura.
ReplyDeletehii hoja ya mwakilishi ilikuwa makini. binafsi sielewi ni kwanini watu wakosanishwe na siasa, ambapo mnyonge aendelee kuonewa. ni ngumu pia kufanya maendeleo kama uongozi si ulio na ridhaa...mfano mimi kama mwananchi siko tayari kuchangia maeneleo kupitia kiongozi ambaye hakupata ridhaa kwa haki......hili tatizo ni kubwa zaidi Zenji...
suala la kuwa na chama kimoja ni reaction kutokana na hali halisi. suala ni kwamba ni chama gani hicho? kikiwepo uongozi wake utakuwa wa kupitia mchakato mzito kumpata popular leader! wananchi wa visiwani ndio wenyewe chini ya popular leader wao wataamua kuwa tofauti zimeisha na wanataka kuanzisha upinzani kwa ajili ya maendeleo yao wenyewe na sio vifo vyao vyenyewe...hapa lakini kuna sayansi za muungano..je chama kipya kitakuwa na sura ya kitaifa?
kimsingi ni mbaya sana kwa mtu mzima kuingia kichwa kichwa na kufanywa mtoto kila mara. kibaya zaidi ni kuwa michezo michafu hubomoa taifa na haijengi. leo hii tumefikia mahala hata maendeleo (ulaji keki)wa nchi yetu yanataka kuchukua sura tofauti (uzalishaji, mahitaji na hali za maisha ya watu/jamii) kwenda kwa uzanzibar na ubara... binafsi naiona hii kama ni hongo kwa wananchi wa visiwani waachane na fikra za kuingia ikulu! tatizo ni kwamba haya yatafanyika yakigharimiwa na mwananchi wa kigoma au bukoba! kwa nini jembe lisiitwe jembe?
pia sielewi kwa nini Seif anafananishwa na dudu nyoka mwenye sumu kali aliyejaa ugaidi...anyway, watu nao si wanaamka, madaktari waliambiwa hawana uzalendo, je viongozi wetu e.g. wabunge wana uzalendo zaidi? mimi inapokuja suala la siasa niko very neutral na mfuatiliaji makini..nilikuwa natembelea tovuti zote, www.ccmtz.org na www.cuftz.org, pia www.kikweteshein.com....kwa kweli sikuona tatizo la Seif ambaye kwa kiasi kikubwa sana amekuwa kiongozi mvumilivu sana mfano wa kuigwa. na alijiandaa kuongoza kwa namna ya kutukuka kwa serekali ya umoja. hii mambo inayomnyima JK na watanzania wengine usingizi isingekuwepo..na ndio maana alishinda...japokuwa mfumo wote kuanzia wanahabari, kuahirishwa kwa uchaguzi (bahti mbaya mungu amlaze Jumbe pema) na hata mfumo tawala (government machinery) havikumtendea haki Seif na wananchi wa Zanzibar....haya tutabeba mzigo!!
Barabumu, Tatizo la mtakatifu mtarajiwa Nyerere ni kuwa alishindwa kusimama kwenye kanuni. alipowaweka alama wapinzani kama mbwa, ilikuwa ni laana kubwa kwa nchi ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa teyari imeishalewa fikra zake ambazo hakutaka zipingwe! leo hii ni kweli mpinzani anaonekana mbwa!! wakati huo huo anasema Zanzibar iweke serekali ya umoja, je mbwa huyo huyo ataongozaje serekali? aking'ata wenzie je? hili la pili lilikuwa ni sahihi! japo system na wale waheshimiwa walinzi wa amani aliokuwa humu tovutini waliishawapiga picha kama mbwa..
ReplyDeletemtakatifu mtarajiwa ambaye teyari aliishaweza/kushindwa vya kwake na kuamua kungatuka, alirudi miaka kumi baadaye kupiga kampeni dhidi ya mbwa Mrema ambaye siwezi kudhibitisha kama angekuwa ni kiongozi sahihi wa watanzania wakati ule.....labda ujambazi dhuluma na ulalahoi wa watanzania ungekuwa mara kumi...hapa tena alitumia influence yake kuamua alichoona ni bora kwake!!!!je Mbwa Seif naye si anasuffer the consequence?
je tunajua ile kauli yake kuwa rais bora hatatoka upinzani bado ni jinamizi kwa wapiga kura wengi? hii inaonyesha unafiki mkubwa! kwa nini alijipinga mwenyewe?
nawaachia na wenzangu muendelee. akhsante Michuzi! tunahamishia blogu zetu kwako sasa!
Maalimu anajua lazima atafute strategy nyingine. Assingie msituni tu!
ReplyDelete