gadna g. habash wa clouds 88.4 fm akiwa na mkewe judith daines isambai mbibo ama lady jd siku ya ndoa yao ambayo nilibahatika kuwa mpiga picha pekee na ndo maana wengi hawajaona vitu hivi...studio yangu ya photo point inaweza kuja nyumbani ama ukumbini na matokeo ni kama haya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hii ndoa ilikuwa kanisani au kwa mkuu wa wilaya?

    ReplyDelete
  2. Michuzi leo umenipa kitu roho inapenda. Nilikuwa natamani sana kupata recap ya harusi ya maselebrit hawa lakini wapi. Lakini je wamekuruhusu uitumie namna hii.

    Nammiss Jay Dee kinoma

    ReplyDelete
  3. Innocent,
    Na mimi najiuliza kama Lady JD aliingia kanisani na hicho ki-bikini top!

    ReplyDelete
  4. hii itakuwa ndoa ya mkeka,

    ReplyDelete
  5. safi namna hiyo kupunguza namba ya masela na haya mambo ya kuoga na makoti!

    ReplyDelete
  6. Huyo ndo jamaa kama Binti?

    ReplyDelete
  7. Ndo huyo.

    ReplyDelete
  8. Michuzi umekosea au ni makusudi "Wanadoa" ukiwa unataka kumaanisha "Wanandoa"
    Sijui,, labda kweli wana doa!!

    ReplyDelete
  9. Jamaa suti gani hiyo kavaa suti ya viraka viraka, poor fashion taste

    ReplyDelete
  10. Yani kwa kweli ninakusikitikia sana we Gadna,umeacha mkeo wa ndoa halali kwa ajili ya huyo changu wa Ruge?pole sana,kwanza ana mtoto wa kike mkubwa kamficha kwao,fatilia.Na usisahau kwenda ANGAZA Maana,,,duh yule demu wako wa kiarabu...kaikanayaga siku nyingi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...