Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Jd na Bi Kidude wanafanana tofauti na age tu

    ReplyDelete
  2. Yaani ni kama mtu na mjukuu wake wa damu.

    ReplyDelete
  3. Ni kweli kabisa

    ReplyDelete
  4. Wote wana macho madogo, midomo minene kiasi, sura ndefu kiasi, labda pua kidoooogo zina utofauti, lakini shingo na videvu huwezi kutofautisha....jamani duniani watu wawili wawili....

    ReplyDelete
  5. wamefanana kweli! inawezekana kabisa kipaji huendana na maumbile!

    ReplyDelete
  6. Bi Kidude ndio kamsaidia kufunga hicho kilemba nini?

    ReplyDelete
  7. wanafanana kiaina fulani mzee gadna angalia mama atavyokuwa fainali aweza kuwa sampuli za bibi kidude

    ReplyDelete
  8. Namimi nikifika Bongo lazima nipige picha na Bi Kidude!

    ReplyDelete
  9. ktk kudodosa ndio nimeiona leo hiyo picha nzuri sana ipost tena wadau wachonge

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...