Home
Unlabelled
kidude na jide
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jd na Bi Kidude wanafanana tofauti na age tu
ReplyDeleteYaani ni kama mtu na mjukuu wake wa damu.
ReplyDeleteNi kweli kabisa
ReplyDeleteWote wana macho madogo, midomo minene kiasi, sura ndefu kiasi, labda pua kidoooogo zina utofauti, lakini shingo na videvu huwezi kutofautisha....jamani duniani watu wawili wawili....
ReplyDeletewamefanana kweli! inawezekana kabisa kipaji huendana na maumbile!
ReplyDeleteBi Kidude ndio kamsaidia kufunga hicho kilemba nini?
ReplyDeletewanafanana kiaina fulani mzee gadna angalia mama atavyokuwa fainali aweza kuwa sampuli za bibi kidude
ReplyDeleteNamimi nikifika Bongo lazima nipige picha na Bi Kidude!
ReplyDeletektk kudodosa ndio nimeiona leo hiyo picha nzuri sana ipost tena wadau wachonge
ReplyDelete