nang'aa macho nikishangaa jinsi watu wanavyoandika mambo ya ajabu ajabu humu bloguni. ni kweli nafurahia kutembelewa namna hii, lakini si uongo kwamba nasikitishwa na baadhi ya michango, hasa inayotumia lugha mbaya. nawasihi tusaidiane na nawaomba ushirikiano tuache ama tupunguze maneno ya matusi. lumbana utakavyo ila usitukane.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. NI KWELI KAKA MATUSI HAYAFAI. LAKINI NA WEWE KWA UPANDE WAKO JITAHIDI KUPUNGUZA KUTOA PICHA ZA KUHAMASISHA MALUMBANO YA MATUSI.
    UNAJUA TATIZO LA LUGHA YETU KISWAHILI KWAMBA NENO MOJA LINAKUWA NA MAANA NYINGI NA WASWAHILI WENYEWE SI UNATUJUA KWA KUPENDA KUBADILISHA MAANA.

    ReplyDelete
  2. Kaka hapa lazma nikupe A+ kwa hii blogu yaani kutwa lazma niingie walahu mara 2. Jaribu kuipanua zaidi uwe na sehemu ya habari na madoido mengine.

    Mdogo wako
    WW.

    ReplyDelete
  3. nashukuru mdogo wangu ww. nitafanya hivyo na mengi mengine nikitimiza picha 1000. hivi sasa niko 500 na ushee hivi. endelea tu kujinoma. ziko kibao hizi, za sasa na za kale za kutosha miaka 10 mizima... wala usikonde.

    ReplyDelete
  4. Sawa kabisa uliyosema Michuzi. Tutajirekebisha. Kwa upande mwingine, napenda kukushukuru sana kwa kutupostia picha za kila aina, hata binafsi. Endelea mjomba kutupatia edutainment kutoka Bongo kwa sisi tuliyo Ughaibuni.

    ReplyDelete
  5. Bwana Michzi asante sana kwa kazi nzuri sana. Sijui kama unaelewa ni kiasi gani cha umashuhuri hii site ilio nao espacially hapa Marekani watu wanaishabikia sana. Nakuomba hao wachache wanaotukana wasikuvunje moyo. Mwenyezi Mungu akupe Baraka tele na mazuri yote yakufuate.

    ReplyDelete
  6. hapo mzee umetulia unawatilia picha masenene, ili yatukane vizuri.

    ReplyDelete
  7. kweli kaka Michuzi, hawa watu kweli hawana adabu, hii blog yako iko fiti kinoma, ila apa ukiwa na site yako mwenyewe itakuwa powa kaka, katika michango nitatoa y kukutengenezea website, aswell mimi ni msaidizi wa Mike Mushi, ninaitwa Richard Williams , nadhani unajua kazi zetu , well you can addres me me by richardmushi@gmail.com, tunaweza tukaongea . tunakushukuru kwa kuwapa watu duniani kuadvertise, au kuwaonyesha tanzania ilivyo. asante

    ReplyDelete
  8. haa michuzi una komputa kama yangu.

    ReplyDelete
  9. Pulizz naomba hilo pazia huliweke vizuri mambo gani tena .Halafu inaonekana hii ndio office yako kwa ushauri office huwa zinawekwa color ambazo zimetulia sio kama hiyo maana inaonyeaha kama shower curtain badilisha

    ReplyDelete
  10. Kama shower curtain,wewe unayo,kabwela mkubwa wewe.

    ReplyDelete
  11. Mr michuzi,
    Katika jamii yoyote ile iliyostaarabika haina maana MAHAYAWANI wachache watakosekana!!! cha msingi ni wewe kuendelea kufanya kazi yako kwa umakini mkubwa na kwa nia iliyo njema na kwa wastaarabu wanaotumia gazeti hili tando kuendelea kuchangia mada mbalimbali na picha bila kutoa nafasiya malumbano yasiyo na maana au muelekeo mwema kwetu.

    ReplyDelete
  12. hamna cha kabwela wala nini kama Issa anataka kuwa professional anatakiwa aangalie anapofanyia kazi. Naelewa Issa umetembea sehemu nyingi maoffice mengi umeyaona nakosea?

    ReplyDelete
  13. vizuri kaka,nashukuru kwa kutupa matukio katika picha,keep on

    ReplyDelete
  14. Michuzi,

    Ndo matunda ya websites unapata mabaya na mazuri!

    Nitumie e-mail basi chemiche3@yahoo.com na unipe simu yako.

    My Blog is: http://swahilitime.blogspot.com/

    ReplyDelete
  15. Thank you Michuzi for a good blog and all good pictures. Ni vigumu sana kupata watu wenye kufikili sawa. Siku zote tutakuwa na watu wanaotumia matusi,n.k . The best thing is to ignore them and move on brother.

    ReplyDelete
  16. WEE CHEMI CHE MPNDA NAWE UNATAFUTA MABWANA TU HUMU KUTOA EMAIL YAKO. ISA MICHUZI ANATOA EMAIL YAKE KILA KUKICHA UMU NDANI, KWA NINI WEWE USIMWANDIKIE?? WACHA KUJISHEBEDUA WEWE, AU UNATAKA TUKUANDIKIE?? HATUTAKI BASI!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 01, 2006

    chemi cha kupondwa mchemfu tu huyo,we angalia coment zake zote hakuna hata moja ya maana,zote kaandika email yake tu,kama so kujilengesha ni nini huko?
    kua wewe

    ReplyDelete
  18. michuzi kaofisi kako kadogo sana, yaani kamebanana, wewe ni mtu mkubwa hebu tafuta ofisi yenye hadhi yako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...