makao makuu ya chadema, ilala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kweli jamani tz bado tuna safari ndefu sana sasa ina maana chadema mmeshindwa kabisa kutafuta ofisi sehemu nyingine zaidi ya hiyo ionekanayo kama guest house> haaa kweli siamini kama hiyo ni ofisi ya chadema michuzi nifumbue macho

    yaani ndio chama cha pili baada ya ccm nilichodhani chaweza kuchukua nchi kina mazingira magumu hivyoo?

    ReplyDelete
  2. michuzi na wewe na kina dada! Yaani umesubiri huyo mamaa awe anaelekea ndani na wewe ukasnap! Au ulimuomba afanye hisani kwa ajili ya blogu?

    ReplyDelete
  3. Wewe mpuuzi nini?Michuzi embu fanya kazi yako,usiwasilkilize mateja wasio na kazi ya kufanya.

    ReplyDelete
  4. sahihisho: ofisi hizi zipo mtaa wa togo, kinondoni. samahani

    ReplyDelete
  5. Kweli Chadema wamekwisha. Ofisi zipo togo kwa mateja???

    ReplyDelete
  6. Mbona bendera ni nusu mlingoti? kulikuwa na nini?

    Londo

    ReplyDelete
  7. hii inaonyesha jinsi wabongo tulivyo chelewa bado tuko nyuma sanaaa, tujifunze kutoka kenya,zambia,malawi, wameshaeksipiriensi demokrasia , sisi bado sana. ni hatari hii sio jambo la kucheka.
    serikali inabidi kusaidia upinzani sio kuwakandamiza, na hasa nyie waandishi wa habari kina michuzi. mchango wenu kusaidia upinzani ni lazima na muhimu. ndio maendeleo sio uhuni huu.
    ikiwepo yanga lazima simba iwepo ama sivyo, utamu hakuna .
    jamjuah

    ReplyDelete
  8. Kweli kabisa. Nguvu ambayo chama ilikuwa nazo kabla ya kampeni zilitutosha kutupeleka kwenye uchaguzi. Sasa tuko katika mpango wa kujenga ofisi mwafaka. Hata hivyo, kumbukeni vyama vingi vilianza katika ofisi ndogo na kukua kadiri vilivyoendelea kuungwa mkono. Kuwa wakala wa mabadiliko unayotaka kuyaona. JJ

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...