
nang'aa macho nikishangaa jinsi watu wanavyoandika mambo ya ajabu ajabu humu bloguni. ni kweli nafurahia kutembelewa namna hii, lakini si uongo kwamba nasikitishwa na baadhi ya michango, hasa inayotumia lugha mbaya. nawasihi tusaidiane na nawaomba ushirikiano tuache ama tupunguze maneno ya matusi. lumbana utakavyo ila usitukane.


NI KWELI KAKA MATUSI HAYAFAI. LAKINI NA WEWE KWA UPANDE WAKO JITAHIDI KUPUNGUZA KUTOA PICHA ZA KUHAMASISHA MALUMBANO YA MATUSI.
ReplyDeleteUNAJUA TATIZO LA LUGHA YETU KISWAHILI KWAMBA NENO MOJA LINAKUWA NA MAANA NYINGI NA WASWAHILI WENYEWE SI UNATUJUA KWA KUPENDA KUBADILISHA MAANA.
Kaka hapa lazma nikupe A+ kwa hii blogu yaani kutwa lazma niingie walahu mara 2. Jaribu kuipanua zaidi uwe na sehemu ya habari na madoido mengine.
ReplyDeleteMdogo wako
WW.
nashukuru mdogo wangu ww. nitafanya hivyo na mengi mengine nikitimiza picha 1000. hivi sasa niko 500 na ushee hivi. endelea tu kujinoma. ziko kibao hizi, za sasa na za kale za kutosha miaka 10 mizima... wala usikonde.
ReplyDeleteSawa kabisa uliyosema Michuzi. Tutajirekebisha. Kwa upande mwingine, napenda kukushukuru sana kwa kutupostia picha za kila aina, hata binafsi. Endelea mjomba kutupatia edutainment kutoka Bongo kwa sisi tuliyo Ughaibuni.
ReplyDeleteBwana Michzi asante sana kwa kazi nzuri sana. Sijui kama unaelewa ni kiasi gani cha umashuhuri hii site ilio nao espacially hapa Marekani watu wanaishabikia sana. Nakuomba hao wachache wanaotukana wasikuvunje moyo. Mwenyezi Mungu akupe Baraka tele na mazuri yote yakufuate.
ReplyDeletehapo mzee umetulia unawatilia picha masenene, ili yatukane vizuri.
ReplyDeletekweli kaka Michuzi, hawa watu kweli hawana adabu, hii blog yako iko fiti kinoma, ila apa ukiwa na site yako mwenyewe itakuwa powa kaka, katika michango nitatoa y kukutengenezea website, aswell mimi ni msaidizi wa Mike Mushi, ninaitwa Richard Williams , nadhani unajua kazi zetu , well you can addres me me by richardmushi@gmail.com, tunaweza tukaongea . tunakushukuru kwa kuwapa watu duniani kuadvertise, au kuwaonyesha tanzania ilivyo. asante
ReplyDeletehaa michuzi una komputa kama yangu.
ReplyDeletePulizz naomba hilo pazia huliweke vizuri mambo gani tena .Halafu inaonekana hii ndio office yako kwa ushauri office huwa zinawekwa color ambazo zimetulia sio kama hiyo maana inaonyeaha kama shower curtain badilisha
ReplyDeleteKama shower curtain,wewe unayo,kabwela mkubwa wewe.
ReplyDeleteMr michuzi,
ReplyDeleteKatika jamii yoyote ile iliyostaarabika haina maana MAHAYAWANI wachache watakosekana!!! cha msingi ni wewe kuendelea kufanya kazi yako kwa umakini mkubwa na kwa nia iliyo njema na kwa wastaarabu wanaotumia gazeti hili tando kuendelea kuchangia mada mbalimbali na picha bila kutoa nafasiya malumbano yasiyo na maana au muelekeo mwema kwetu.
hamna cha kabwela wala nini kama Issa anataka kuwa professional anatakiwa aangalie anapofanyia kazi. Naelewa Issa umetembea sehemu nyingi maoffice mengi umeyaona nakosea?
ReplyDeletevizuri kaka,nashukuru kwa kutupa matukio katika picha,keep on
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteNdo matunda ya websites unapata mabaya na mazuri!
Nitumie e-mail basi chemiche3@yahoo.com na unipe simu yako.
My Blog is: http://swahilitime.blogspot.com/
Thank you Michuzi for a good blog and all good pictures. Ni vigumu sana kupata watu wenye kufikili sawa. Siku zote tutakuwa na watu wanaotumia matusi,n.k . The best thing is to ignore them and move on brother.
ReplyDeleteWEE CHEMI CHE MPNDA NAWE UNATAFUTA MABWANA TU HUMU KUTOA EMAIL YAKO. ISA MICHUZI ANATOA EMAIL YAKE KILA KUKICHA UMU NDANI, KWA NINI WEWE USIMWANDIKIE?? WACHA KUJISHEBEDUA WEWE, AU UNATAKA TUKUANDIKIE?? HATUTAKI BASI!!
ReplyDeletechemi cha kupondwa mchemfu tu huyo,we angalia coment zake zote hakuna hata moja ya maana,zote kaandika email yake tu,kama so kujilengesha ni nini huko?
ReplyDeletekua wewe
michuzi kaofisi kako kadogo sana, yaani kamebanana, wewe ni mtu mkubwa hebu tafuta ofisi yenye hadhi yako
ReplyDelete