wapenzi kwenye pati ya shagi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kitu ambacho Shagi anawezeka kwenda simulia kwao kuhusu Utanzania labda ni lugha tu, vingine vyooote hakuna tofauti na kwao. Maskini weee! Sijui tunaelekea wapi?

    ReplyDelete
  2. anaweza kusimulia mbuga za wanyama pia na mlima kilimanjaro.

    ReplyDelete
  3. Hilo jimama la kwanza jeupe linacheza mduara nini?

    ReplyDelete
  4. wanacheza kwaya haooooo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...