sensei rumadha fundi (pili kulia, juu) akiwa na waandamizi wa dojo la houston

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Correction: Brother Rumadha anaishi Dallas. Brother poa sana, ila lazima ajikinge. Hongera

    ReplyDelete
  2. ajikinge na nini tena? umetuachia hewani.

    ReplyDelete
  3. BONGO KUNA WATU WANAJUA KUPIGA, KAA HUKO HUKO BWANA, BONGO UTAPIGWA KICHWA KIMOJA TU, UTASAHAU DOJO YOTE.

    ReplyDelete
  4. kwa taarifa tu rumadha ni mzaliwa kariakoo na uhuni wote anauijua, acha hiyo kuwa fiti. lakini yote tisa, silaha yake ya kwanza, kama ilivyo mwanakarateka yeyote mzuri, ni kujikinga. hivyo ukimwingia atakimbia na wala hatoona noma kuchekwa. ila wewe utaiona hiyo noma usipokoma kumuacha peke...

    pia karate si ugomvi, ni mchezo wa kijuweka fiti kama michezo mingine, ila sema una ongezo la kujikinga. wachezaji wake, hasa wenye darasa kubwa kama rumadha huwa mabwege mithili ya chui aliyenyeshewa...

    ReplyDelete
  5. ashakula sana bagga huyu, kalainika uswazi kuna watu wama miili ya chuma.
    muulize sensei mawala

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...