vijana wakicheza jaivu la afrika kusini hapa dar juzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. sas hawa ni watz au watoto wa mandela?

    ReplyDelete
  2. dada aliyevaa nguo ya pink kapendeza kupita kiasi nieipenda sana nguo yake.

    ReplyDelete
  3. Hawa Wasauzi wamekomba TBL, wakafilisi ATC, wanalamba madini yetu, sasa naona wanakuja na hata dansi la kwao.

    Ngoma zetu za asili kama mdumange nk vyote vitamezwa na kupotea kabisa.

    Michuzi namna gani? Tuletee picha zaidi zenye kuonyesha watu wanaouenzi utamaduni wetu, sio wa hawa wavamizi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...