Home
Unlabelled
mzee wa sumo matatani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Uhuru wa vyombo vya habari bado sana bongo. Hivyo waadishi you need to take precautions. Nimefurahi kwamba jamaa amepona na alikuwa anaimba Jojina juzi, pole kwa NO SMOKING iliyokukuta mzee wa sumo
ReplyDeletecha moto alikiona, hata rudia tena huyu, amekoma. mwangalie huyo mwenzake fulana yake ilivyochanika kaa sketi huku analia. mkome nyie.
ReplyDeleteMimi naona aache kucheza sumo na ajifunze karate itamsaidia kujilinda. Sumo uzushi. Nadhani inatakiwa Michuzi umpe siri ya wewe kutopewa kisago!! Mkanda wa kahawia.
ReplyDeleteYaani wakome kusaidia raia au?
ReplyDeleteSawa kabisa ajifunze mkanda wa kahawia, michuzi na kitambi chake lakini anachomoka kama mshale, mambo ya kahawia hayo!
ReplyDeleteAisee... this is very disturbing. Pole sana Mpoki.
ReplyDeleteMAMAAAAAAAAAAAA!YAANI WAMEKUUMIZA NAMNA HII?POLE!ASAVWALI MIE WAMECHANA SHATI TU!NEKSTI TAIMU TUWE NGUNGULI NA TUPIGE GWANDA KABISA!
ReplyDeleteBRO,POLENI BWANA.
mkome nyinyi waandishi mmezidi kimbelembele, sisi maasikali tutakua tunawapa misumali kwa kwenda mbele tu - Sajenti Mwita
ReplyDeleteYaani jamani Africa, ni lini tutajifunza kuheshimu haki za binadamu, hasa viongozi na walindao usalama? Nilikaa Tnzania miaka 15 na mara nyingi nilishudia unyama kama huu ukifanywa na askari polisi, ila kumbukeni hata sheria ya nchi yenu haikubaliani na haya, iheshimisheni sheria ya taifa lenu.
ReplyDelete