Home
Unlabelled
jk bungeni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mfundisheni rais kuangalia kamera.Mzee Sita na Karume wametokea vizuri huku JK na Dk. Shein wametokea kama wanaogopa eye contact.
ReplyDeletealiyetokea vizuri kuliko wote as far as facial expression is concerned ni huyu jamaa juu ya Spika Sita.Mama shughuli anaogopa kamera,Profesa Mwandosya ana face kamera vizuri lakini kauchuna kama headmaster mnoko.
Haya huyu Amina kwenda kujipachika katikati ya hiyo mibaba ndio nini????
ReplyDeletejamani ni picha ya ya wabunge kwani yeye sio mbunge? hakuna kosa hapo.
ReplyDeleteKwa ufupi mambo kama haya (shughuri hizi) huwa kuna wapiga picha wengi sasa ni vigumu kwa Viongozi kuziangalia zote. Nakumbuka wakati nipo nyumbani nilikuwa nipo karibu sana na Ikulu ktk mambo yangu ya kikazi sasa nilikuwa naona wapiga picha wengi sana wakiwemo hadi bwana Michuzi. Mtapata jibu kwanini JK hakuangalia hii kamera.
ReplyDeleteAnonymous.
Hivi kumbe Papa Wemba Shungu aka Mzee Fula Ngenge ndio spika wa Bunge la Muungano! Sikuwa na habari Ati!
ReplyDeleteYaani Amina kuwa mbunge mimi moyo unaniuma!
ReplyDeletejamani huoni kama ni mfupi akikaa nyuma nini maana ya hiyo picha kwake sasa?
ReplyDeleteAMINA,WAKATI WA KUPETA NI PALE UNAPOSHIKA UNGO NA KUNA KITU NDANI YAKE!WE CHAPA KAZI,KULA UTAMU.ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA,KAMA MAISHA YANAFUNGUKA YENYEWE NAWE UNASEMA HADI UWE NA FUNGUO,USIDHANI WAKATI UNAKUNGOJA,UMRI WAJO UNARUHUSU KWA KILA JAMBO.HONGERA!
ReplyDeletemnamuona huyo jamaa nyuma ya jk na kulia ya amina,huyo jamaa anaitwa richard ndassa,ni mbunge wa sumve mwanza huko, hamuwezi kuamini huyo jamaa ni darasa la saba....
ReplyDeletemi namfahamu A-Z wala sio uzushi....kama anapinga hilo anitafute nimsute kwa vielelezo.EPM.
HABARI YA DARASA LA NGAPI KAWAAMBIE WAPIGA KURA WAKE WEWE NDIO UNAJUA ZAIDI YAO?WACHAGULIE WA KWAKO!
ReplyDelete