Home
Unlabelled
jk na jongwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi kaka michuzi wewe unazinyakanyaka za ikulu.ni kwa nini JK ziara zake nyingi ni za kusini mwa africa.north,central na west hana time nako nini?au baadae zamu yake itakuja?
ReplyDeletebaadaye atakwenda tu.inabidi aanze na nchi za sadc kwanza, halafu ata peperuka huko. lakini huyu mjinga mugabe kaiharibu hiyo nchi vibaya mno
ReplyDeleteHuyu jamaa mugabe ni dikteta nchi yake kuna inflation sasa, kafukuza wazungu wale sasa hivi anajirudi tena...Mtu wa kipato cha chini zimbabwe sasa hawezi hata kununua majani ya chai...Hela yake na pound moja ya kiingereza hilikuwa mia sita na sasa ni shilingi elfu kumi na nne...Yeye kazi kufunga wapinzani wake tu...SADC wamsimamishe uanachama wake huyu...Eti zimbabwe wana export chakula leo kutoka nje ya nchi hiki ni kichekesho sana...Watu wa human rights katika nchi za africa wako kimya. IM
ReplyDeleteViongozi wetu ni wanafiki, mtu anauua watu wake kwa policy zake mbovu. Halafu JK anamchekea, hii ni sawa na kumkumbatia muuaji. Mbona kikwete anatutia watanzania aibu?
ReplyDeletebw IM inaelekea swala la zimbabwe unalisokilizia cnn.hii ni ishu ya kihistoria.kabla ya yote kwanza jiulize ni vitu gani vilivyowafana martin luther king na mandela wapte nobel prize?the west in kawaida ya kuwatukuza watu wanaotetea interest zao na kuwazima wale wanaokwenda tofauti nao hata kama ni kwa manufaa ya wananchi wa nchi usika.hiyo inflation unayozungumzia imetengenezwa na west kama adhabu kwa mugabe.the west never minds kuwa wanaoteseka ni wananchi wa hali ya chini inachotaka ni kuprove to the rest of the word kuwa usipowasikiliza watakuadhiri.kaka IM wewe kama mwafrika ishu ya zimbabwe inabidi uifuatilie vizuri kwa sababu wahenga walisema ukiona mwenzio kanyolewa wewe tia maji........zemarcopolo!
ReplyDeleteWewe usiwe na akili ya ki-ulaya ulaya wewe ukiangalia tv ushaona kila kitu kweli siyo? Yeye ana haki ya kuwafukuza wazungu wote ndani ya zimbabwe wanao miliki ardhi kubwa ata kushinda raia mwenyewe. serikali ya uingereza si ilisema itailipa Zimbabwe pesa lakini kwanini walikataa kuwalipa si ndio aliamua kuwafukuza! kama unajua mkasa mzima ndio utaamini huyu jama poa.
ReplyDeleteDunia hii sio lazima kuishi ktk mgongo wa UK au US bali kuna China na India we uoni sasa hivi China ndio inaendesha hiyo nchi.
Usiangalie TV na kuamini kila kitu, wewe fuatilia issue kwa undani zaidi na ndio uje kutoa habari zako. ndio yale yale mambo ya "WMD" ziko wapo sasa?
Mhh,
ReplyDeleteZemarcopolo, naweza kusema kuna ukweli kidogo kuwa west hawatupendi sana sana:) Lakini pamoja na hayo inabidi tu tuwe wakweli sisi wenyewe - kama "mandingo people". Nionavyo mimi RM kachemsha - period. Of course, alianza vizuri; Of course alikuwa na kila haki ya kujaribu ku-establish identity ya nchi yake kama nchi huru (isiyohitaji kuingiliwa na kitaifa kingine chochote - including US). Lakini nadhani jamaa ame-push too far.
Kama wa waafrika, nadhani ipo haja ya kuwa makini, kabla ya kuwa msitari wa mbele kuwakumbatia watu ambao ni "borderline dictators". NI kweli ndugu ni ndugu. Lakini iwapo ndugu yangu ni jambazi... there is only so far I can go kabla sijamtoa hadharani.
By the way, hivi RM katawala miaka mingapi vile? Yaani hakuna "mzim" yeyote anayeweza kuwa raisi ni yeye tu! Au ndio mpaka Mzee wa siku (Mungu) amuengue? NIlitegemea maraisi wetu - na hasa wa SADC - wangekuwa msitari wa mbele kumfahamisha RM kuwa - mchezo wake mauti yetu. Kwa mtaji huu, ndio maana west wanaendelea kutudharau - Au labda sina info zote na kuna kitu sikijui (sintashangaa:)
Lakini ma anon mlioandika hapo juu maoni yenu ni sawa ukiangalia kwenye upande wa kwake yeye mugabe. Tatizo ni wale wananchi wake,kanyang'ang'anya mzungu sahamba la 500acre, unampa mzawa ambaye analima kwa jembe la mkono halafu unamwambia chukua ardhi hiyo huumpi hela ya mbegu wala ya hilo jembe, halafu kama ukikumbuka aliwafukuza wazungu kipindui cha uchaguzi wakati yule jamaa wa upinzani Tsavangarai poll yake hilikuwa juu sana, na yeye kukiokoa chama chake cha zanu pf hakaona ni kheri afukuze wazungu ambao sasa wananchi wake wanakaa kwenye kambi...Mimi ninachoomba ni kwamba yeye haoni kama mambo yamekuwa mabaya sana sasa, tangu wale wazungu hawafukuze halafu cha kushangaza wale wazungu asilimia kubwa ni wazawa wa zimbabwe...Sasa kama rais yuko above the law na akiamka tu anasema leo wale wazungu warudishe hile ardhi na muwape watu wanaokiunga mkono zanu pf,sasa mtu kama huyu sio dikteta na mbaguzi wa rangi...IM,Bulawayo
ReplyDeleteHivi mtu utaanzia wapi kumtetea Jongwe? Yafaa nini kujifanya unakaidi amri za west huku watu wako wakifa kwa njaa? Ni mambo ya ajabu sana nchi iliyokuwa inalisha nchi za kusini mwa Afrika ati leo ni watu wake hawana chakula. Huu uzalendo usiokuwa na mpango utaisha lini?
ReplyDeleteMnaotuambia watu wasisikilize taarifa za ccn za kwenu mmezipata wapi? Kwamba Zimbabwe kuna njaa tukatae eti tu kwa sababu habari hizo zimetolewa na ccn? Nami nawaomba msisikilize sana ulongo wa Chipo Zindonga kwani anachofanya nikutetea unga wake. Ni sawa na wakuu wetu wa wilaya waliokuwa wanakataa wilaya zao hazina njaa huku watu wakifa kisa Sumaye alikuwa ameonya DC ambaye wilaya yake itakumbwa na njaa hana kazi!
ndugu ananymous samahani kwa kutumia lugha ambayo hukunielewa,nilivyosema cnn nilikuwa natumia lugha ya picha tu nikimaanisha biased source.....anyway inabidi niombe msamaha kwa sababu inaelekea nimetonesha kidonda.ila kuna jambo moja naomba nilifungue vizuri,swala la kukubali kutii amri za mataifa fulani kwa kuogopa kufa kwa njaa sio njia sahihi ya kutatua matatizo yetu.turudi nyuma,je sio kweli kwamba mwaka 1961 tulipopata uhuru hatukuwa na uwezo wa kufananishwa na wa serikali ya uingereza ambayo iliyokuwa ikitutawala.tunaendelea kujingongoja hivyohivyo tukiamini kuwa utu wetu ndio kitu namba moja,mtu au taifa lolote lisilojali hatutakiwi tukubaliane nalo kwa kuwa na hofu ya njaa.ikumbukwe kwa makini kuwa mh. raisi wetu JMK ametoa maagizo kuwa mikataba iliyofanywa kati ya serikali za awamu zilizopita na makumpuni mbalimbali ipitiwe upya.believe me kuwa hili zoezi ambalo kwa sasa linaonekana kama halina uzito linaweza kuzusha mzozo ambao hauna tofauti na wa uncle RM.je wakaguzi wa mikataba hiyo wakigundua kuwa mikataba hiyo ilikuwa inanufaisha zaidi upande wa wageni na kamua ivunjwe au ifanyiwe mabadiliko na ikatokea kuwa "west" haijaridhishwa na uamuzi wa aina hiyo unahsauri tukubaliane nao ili tusife njaa?UTU KWANZA.............zemarcopolo!
ReplyDeletekwa aliuliza mugabe amekaa muda gani, kwani mubarak amekaa muda gani madarakani? Egypt ni moja ya nchi 3-4 duniani zinazopokea 1/3 ya misaada yote ya marekani. Analinda maslahi yao na kufanya wanavyotaka ndiyo maana ni kama raisi wa maisha. Mimi sidhani kama TZ tuna'fuck' (for lack of a better word!) sana na west na north. Hatuna ugomvi nao au tension lakini naona kama kila mmoja yupo kivyake. South of Africa ndiyo the most stable area in africa sasa hivi cha kushangaza USA would rather pour in development money in nigeria na egypt. Before long watatuchonganisha. Angalia kwa makini approach yao kuhusu Darfur, Sudan. Waafrika inabidi tuwe makini sana.
ReplyDeleteMugabe bado ni rafiki mkubwa tu wa TZ. Hatutaki kujitokeza wazi kumuunga mkono tusije tukaenda naye shimoni(au labda tunatofauti naye technically lakini bado tunamsupport). Zimbabwe ni main symbol ya the whole african stuggle of independence. Hadi watu kama kina kina Bob Marley walienda kuburudisha wakati wa uhuru. Inabidi tumsupport wakati tunaendelea kutafuta suluhisho la matatizo. Tukiwaacha west wamnyee na kuiporomosha nchi kazi yote ya 60s, 70s imekwenda.
asante anony hapa juu......wewe ni mwafrika uliyeiva kisiasa au to be specific kimtazamo juu ya uhusiano wa nchi zilizoendelea na zile zinazoendelea!!!we need to be very careful katika hili kwa sababu kuna mtindo wa kuwa hypnotised kwa pipi ..........zemarcopolo!
ReplyDeletemaneno aliyosema kikwete na Mugabe yameandikwa hapa:
ReplyDeletehttp://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2006/04/29/65294.html
kwa ufupi:
Addressing top government officials and high-ranking government officials at a dinner hosted by President Mugabe at the Bulawayo State House on Thursday night, President Kikwete said Tanzania supported African countries that are struggling to rebuild their economies.
’’We will continue to propagate the philosophy that political freedom becomes meaningful only if we can make decisions freely without being pushed or interfered with by foreign countries,’’ he stressed.
He also praised President Mugabe for his firm anti-neo-colonialism stand, saying the freedom that Zimbabweans fought for would otherwise be meaningless.
exactly, that's what I was saying. Kikwete was very right, now he need to watch his back!
ReplyDeleteAnony uliyenifuatia, haya mambo yananisikitisha sana. It looks like whiteys can't let us live. I always go back and say, they abolished slavery, but within 20 years they went to berlin and decided to divide and exploit africa, once again. It didn't stop there, all those two world wars were not even our wars if you think about it, but they dragged us into them.
Alot of people don't know what happened to the relationship between africans and african-americans because there is an unsaid misunderstanding that result to lack of cooperation between us. The same thing is going to happen within africa between arabs and africans, they will use this Darfur crisis as a gateway. It's all about divide and rule.
kumbe kikwete bureeeee ,mugabe ni dikiteta ,na ccm vilevile pia ,ndio maana vyama vyote viko madarakani hadi leo wakifikira wao ni mungu wa kutawala maisha na hakuna jipya ila wananchi wanazidi kuwa masikini na wenyewe na wanaowazunguka kuwa matajiri wa maisha,muangalieni huyo raisi wenu ameshaanza kuwashika mikono wadikiteta ,wapili huyo baada ya mseveni ,asijekuwageukia na nyie watanzania ? kulindwa
ReplyDeletewashington DC
umewahi kusikia msemo, 'a friend in need, is a friend indeed'?
ReplyDeleteMugabe ana matatizo yake, lakini wewe huko DC ukikutana na Bush si ndiyo utapiga magoti?
Huyu bwana Mugabe wenzie wanamchuza maana kama ni tanzania kila kitu tumeuza kwa kaburu na walowezi sasa tunachofanya ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kweli tena hivi ni kipi mfano wa kuigwa toka zimbabwe wale jamaa wanakufa na njaa na wana inflation ya hali ya juu 900% inasikitisha sana sijui tutamsaidiaje maana hata Gaddafi kashindwa.
ReplyDeleteAnony hapo juu nakubaliana na wewe kabisa, Tanzania kila kitu tumempa Kaburu ati ikija kwa Zimbabwe kubinafsisha hakufai!! Kuna mashamba huko Mbulu yana mgogoro na wenye fedha zao wameshinda, mbona hatukuona kuwa wananchi wa Mbulu nao wanastahili ardhi safi kama hiyo waliochukua hao wawekezaji feki? Ni upuuzi mtupu kutetea sera za Mugabe
ReplyDeleteof course the struggle has become meaningless, 1980s this same mugabe used fifth brigade trained secretly in north korea to maim his own people (ndebeles)opposition tribe, (joshua nkomo)bulawayo its regional capital, mugabes reign of terror entered matabeleland like a monsoon, mugabe himself called it "yegutarahungi". Today mugabe is kiling his own tribesmen just because they are opposing him. most people here are blaming white people are just hypocrites, mnapigania haki za waafrika kwa kupongeza watu kama mugabe''' aibu tupu
ReplyDelete