Home
Unlabelled
kinadada wa bongo ya leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee si mchezo hapa ndio penyewe. Michuzi unazo namba zao za Simu au wanakaa wapi hawa hapo Bongo.
ReplyDeleteMichuzi Samahani tunaomba namba zao.
Ukisikia Mungu anajua kuumba ndio hapo wazee.
Wape Ongera, kweli ni wazuri ktk Wazuri.
Ebana eee bongo Luninga!
ReplyDeleteMaskini mila na desturi zetu zinayoyoma hivi hivi mbele ya macho yetu.
ReplyDeletemmm noma, nimekubali.
ReplyDeleteHuyo wa kwanza hana maadili kabisaaa.Najua Anonymous atanikashifu hapa...
ReplyDeleteLakini Michuzi ungeweka majina yao unajua tena!
huyu waupande wa blauzi ya buluu alieacha matiti wazi ni mtoto wa waziri mwapachu
ReplyDeletena huyu wa kulia ni wa raisi kikwete.
ReplyDeleteHuyu aliyevaa jeans anaonekana mtamu.Hayo mavazi siyo mchezo.jamani bongo kuna raha yake.
ReplyDeletendiyo maana wanaume hatuoi. too much temptation unashindwa hata kujizuia. maanake huyo aliyevaa top ya blue hana tofauti na madem wa huku mamtoni.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteDuh jamani picha za watoto wakibongo zinanivutia mno, ngoja niende zangu bafuni.
ReplyDeleteWewe nani mwenye lugha mbaya hivyo? Acha Mawazo mabaya ndugu utashindwa kumlizisha mkeo baada ya miaka 2. Ukishindwa kuacha muone Daktari.
ReplyDeleteAlamdulilai na mimi ndio kwanza natoka bafuni tena sasa hivi.Yaaaaaaaaaani we acha tu.
ReplyDeleteAkili Mbovu hizo acheni ujinga onesha wewe mwanaume kwa kuwaangalia na kama ikiwezekana wafuate kuliko kukazania sabuni.Ndio wazuri lakini sio kukaa na sabuni mwaname kamanda ni yule anae mfuata mwanamke ata kama ni mzuri wa aina gani, Lakini nyie mwanamke akiwa mzuri domo zege na kubaki na sabuni tu utakufa!!!
ReplyDeleteAu Muombe bwana Shemeji namba zao za simu, eti michuzi kwanini usiwape? Maana hawa watu wanatuletea ujinga.
Wajameni lakini tuache ubishi hawa mabinti ni wazuri na watamu kishenzi au mnasemaji wajameni. Kamugisha.
ReplyDeleteMh mpaka kasabuni kangu kameisha hivi hivi nakaona, sasa inabidi niamie kwa tumbuzi kama sauzi sababu nasikia tumbuzi hatuna virusi
ReplyDeletePole sana kaka, haya mambo bongo tumeyazoea
ReplyDeletedada wa kushoto anaitwa mwamvita piga namba hii ya duka lake (0741261565)
ReplyDeleteMwambie ategemee simu toka ughaibuni. Ameolewa au bado? Kama bado je ana wazo hilo, tunataka kuja kuchukua jumla jumla.
ReplyDeleteMtoto mzuri na mtamu sana.Jina kamili ni nana?
Wengine wanauliza vipi kuhusu huyo mwingine? Anaitwa nani jina kamili na namba yake je? Tunataka kuja kuoa kama hawajaolewa!!!
Kazi kwenu wa kina dada. Kama hamjaolewa nendeni kwa Michuzi awapige picha na mtapata bahati yenu toka ughaibuni na ndani ya Bongo maana wengi bado hatujaoa na tunatafuta.
Michuzi kazi hiyo unaweza ukawa unawatoza pesa kutokea ktk hii website yako.
bana eheh hizo picha nzuri kinoma safi sana bwana shemeji kama wanavyokuita siku hizi sijui ni kwanini hasa? hizo projects pia nzuri kinoma.kazi njema bwana shemeji.shebby
ReplyDeletemichuzi tupe picha za dizaini hizi sio mchezo ni kali!!!!!!!!!!!moto wa kuotea mbali.
Mh! Yale yaleee,,
ReplyDeleteLabda mimi macho yangu tofauti, lakini mbona watoto wa kawaida sana hawa?? Kuna nini cha ajabu hapo,, kwanza huyo wa kushoto sura yenyewe ya Bia, huyo mwingine mdomo mkubwa kishenzi. Wacheni kubabaika nyie, kuna watoto wazuri sana Bongo, lakini kwa hawa wawili, hakuna cha kutisha, ni wa kawaida sana.
Babatunde
Hawa wajomba wanafurahisha genge hawa wanawake gani vinega blabu walala ukumbini hawa. Wote waliumwa utapia mlo darasa la pili mie nawajua. Michuzi leta mambo mengine jibaba Vipi mapicha ya Wazee wa msondo au Sikinde enzi za akina Baltazali na vitu kama hivyo mtu wachana na hawa wapiga debe. leta vitu vya kuturuidisha nyuma au kutuchanganua akili. Tupe mapicha ya akina Shaban Baraza, Mwinda Ramadhani, Yanga Bwanga, nk
ReplyDeleteMkulu
waghaibu mbona hamunipigii, nyie vipi!
ReplyDeletekwani kweli haujaolewa? na unataka kuolewa? upo tayali?
ReplyDeletemademu gani uchafu mtupu
ReplyDeleteSio vizuri kutukana kiumbe kilicho umbwa na MUNGU kama ni uchafu!!
ReplyDeleteKila binadamu ni wazuri tu.
Jifunze lugha nzuri usije kupata dhambi.
kweli watanzania wengine hawana akili hivi wewe mtu nakili zako timamu unaweza kusema hawa mademu hawana tofauti ni wa majuu,kisa nini mavazi au?wangevaa kanga mbili na ndala hoa ungeenda bafuni?naona kweli hujui maana ya uzuri
ReplyDeletenyamzani
Mhhhhhhhh, jamani mambo hayo!! Simkae upo hapo? Upati watoto kama hao Queen Vic au Kalabash!! Basi bwana nimehairisha ndoa.
ReplyDeleteBristol.
MKULU!!! YOU ARE A SEXIST
ReplyDeletesamahani huyu mtu wa mwisho katumia jina mk, naomba niwataharifu hilo jina mk sio la mk wa Vijimamboz.blogspot.com nimeamua kutoa ufafanuzi hii ni kutokana na lugha aliyo tumia.
ReplyDeleteNashukuru,
©2006 MK
Hawa mademu wote ni ma gold digger sana mikocheni hapo.
ReplyDeleteTunataka picha za wanaume pia tuwachanganue...
ReplyDelete