hawa ni baadhi ya kinadada wajasiriamali ambapo wa kushoto ni mmiliki wa saluni na mwenzie ana kampuni yake ya mitindo ya mavazi na wanamitindo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee si mchezo hapa ndio penyewe. Michuzi unazo namba zao za Simu au wanakaa wapi hawa hapo Bongo.

    Michuzi Samahani tunaomba namba zao.


    Ukisikia Mungu anajua kuumba ndio hapo wazee.

    Wape Ongera, kweli ni wazuri ktk Wazuri.

    ReplyDelete
  2. Ebana eee bongo Luninga!

    ReplyDelete
  3. Maskini mila na desturi zetu zinayoyoma hivi hivi mbele ya macho yetu.

    ReplyDelete
  4. mmm noma, nimekubali.

    ReplyDelete
  5. Huyo wa kwanza hana maadili kabisaaa.Najua Anonymous atanikashifu hapa...
    Lakini Michuzi ungeweka majina yao unajua tena!

    ReplyDelete
  6. huyu waupande wa blauzi ya buluu alieacha matiti wazi ni mtoto wa waziri mwapachu

    ReplyDelete
  7. na huyu wa kulia ni wa raisi kikwete.

    ReplyDelete
  8. Huyu aliyevaa jeans anaonekana mtamu.Hayo mavazi siyo mchezo.jamani bongo kuna raha yake.

    ReplyDelete
  9. ndiyo maana wanaume hatuoi. too much temptation unashindwa hata kujizuia. maanake huyo aliyevaa top ya blue hana tofauti na madem wa huku mamtoni.

    ReplyDelete
  10. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  11. Duh jamani picha za watoto wakibongo zinanivutia mno, ngoja niende zangu bafuni.

    ReplyDelete
  12. Wewe nani mwenye lugha mbaya hivyo? Acha Mawazo mabaya ndugu utashindwa kumlizisha mkeo baada ya miaka 2. Ukishindwa kuacha muone Daktari.

    ReplyDelete
  13. Alamdulilai na mimi ndio kwanza natoka bafuni tena sasa hivi.Yaaaaaaaaaani we acha tu.

    ReplyDelete
  14. Akili Mbovu hizo acheni ujinga onesha wewe mwanaume kwa kuwaangalia na kama ikiwezekana wafuate kuliko kukazania sabuni.Ndio wazuri lakini sio kukaa na sabuni mwaname kamanda ni yule anae mfuata mwanamke ata kama ni mzuri wa aina gani, Lakini nyie mwanamke akiwa mzuri domo zege na kubaki na sabuni tu utakufa!!!

    Au Muombe bwana Shemeji namba zao za simu, eti michuzi kwanini usiwape? Maana hawa watu wanatuletea ujinga.

    ReplyDelete
  15. Wajameni lakini tuache ubishi hawa mabinti ni wazuri na watamu kishenzi au mnasemaji wajameni. Kamugisha.

    ReplyDelete
  16. Mh mpaka kasabuni kangu kameisha hivi hivi nakaona, sasa inabidi niamie kwa tumbuzi kama sauzi sababu nasikia tumbuzi hatuna virusi

    ReplyDelete
  17. Pole sana kaka, haya mambo bongo tumeyazoea

    ReplyDelete
  18. dada wa kushoto anaitwa mwamvita piga namba hii ya duka lake (0741261565)

    ReplyDelete
  19. Mwambie ategemee simu toka ughaibuni. Ameolewa au bado? Kama bado je ana wazo hilo, tunataka kuja kuchukua jumla jumla.
    Mtoto mzuri na mtamu sana.Jina kamili ni nana?

    Wengine wanauliza vipi kuhusu huyo mwingine? Anaitwa nani jina kamili na namba yake je? Tunataka kuja kuoa kama hawajaolewa!!!

    Kazi kwenu wa kina dada. Kama hamjaolewa nendeni kwa Michuzi awapige picha na mtapata bahati yenu toka ughaibuni na ndani ya Bongo maana wengi bado hatujaoa na tunatafuta.

    Michuzi kazi hiyo unaweza ukawa unawatoza pesa kutokea ktk hii website yako.

    ReplyDelete
  20. bana eheh hizo picha nzuri kinoma safi sana bwana shemeji kama wanavyokuita siku hizi sijui ni kwanini hasa? hizo projects pia nzuri kinoma.kazi njema bwana shemeji.shebby

    michuzi tupe picha za dizaini hizi sio mchezo ni kali!!!!!!!!!!!moto wa kuotea mbali.

    ReplyDelete
  21. Mh! Yale yaleee,,
    Labda mimi macho yangu tofauti, lakini mbona watoto wa kawaida sana hawa?? Kuna nini cha ajabu hapo,, kwanza huyo wa kushoto sura yenyewe ya Bia, huyo mwingine mdomo mkubwa kishenzi. Wacheni kubabaika nyie, kuna watoto wazuri sana Bongo, lakini kwa hawa wawili, hakuna cha kutisha, ni wa kawaida sana.

    Babatunde

    ReplyDelete
  22. Hawa wajomba wanafurahisha genge hawa wanawake gani vinega blabu walala ukumbini hawa. Wote waliumwa utapia mlo darasa la pili mie nawajua. Michuzi leta mambo mengine jibaba Vipi mapicha ya Wazee wa msondo au Sikinde enzi za akina Baltazali na vitu kama hivyo mtu wachana na hawa wapiga debe. leta vitu vya kuturuidisha nyuma au kutuchanganua akili. Tupe mapicha ya akina Shaban Baraza, Mwinda Ramadhani, Yanga Bwanga, nk

    Mkulu

    ReplyDelete
  23. waghaibu mbona hamunipigii, nyie vipi!

    ReplyDelete
  24. kwani kweli haujaolewa? na unataka kuolewa? upo tayali?

    ReplyDelete
  25. mademu gani uchafu mtupu

    ReplyDelete
  26. Sio vizuri kutukana kiumbe kilicho umbwa na MUNGU kama ni uchafu!!

    Kila binadamu ni wazuri tu.

    Jifunze lugha nzuri usije kupata dhambi.

    ReplyDelete
  27. kweli watanzania wengine hawana akili hivi wewe mtu nakili zako timamu unaweza kusema hawa mademu hawana tofauti ni wa majuu,kisa nini mavazi au?wangevaa kanga mbili na ndala hoa ungeenda bafuni?naona kweli hujui maana ya uzuri
    nyamzani

    ReplyDelete
  28. Mhhhhhhhh, jamani mambo hayo!! Simkae upo hapo? Upati watoto kama hao Queen Vic au Kalabash!! Basi bwana nimehairisha ndoa.
    Bristol.

    ReplyDelete
  29. MKULU!!! YOU ARE A SEXIST

    ReplyDelete
  30. samahani huyu mtu wa mwisho katumia jina mk, naomba niwataharifu hilo jina mk sio la mk wa Vijimamboz.blogspot.com nimeamua kutoa ufafanuzi hii ni kutokana na lugha aliyo tumia.

    Nashukuru,
    ©2006 MK

    ReplyDelete
  31. Hawa mademu wote ni ma gold digger sana mikocheni hapo.

    ReplyDelete
  32. Tunataka picha za wanaume pia tuwachanganue...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...