bongo magazeti kibao siku hizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. dalili nzuri..theoretically magazeti kibao means
    mawazo kibao,which means solutions kibao au choices kibao.cheers!...........zemarcopolo!

    ReplyDelete
  2. magazeti mengi ya bongo yanaandika habari zisizofanyiwa utafiti...mtu anakaa tu chumbani kwake na mke wake na kuchapisha gazeti la kuuza kesho...usenge tu....emergencypoison

    ReplyDelete
  3. emergencypoison nina swali kidogo...unasema magazeti "mengi" ya bongo yanaandikwa bila utafiti.je unaweza kutupa the exact value of mengi?iwapo utashindwa tutakulaumu kuwa wewe ndio umeandika comment ambazo hajazifanyia utafiti.iwapo utakuwa na hiyo value nitakushukuru kwa kutupa taarifa mbayo mimi na pengine na wengine tulikuwa hatujui.cheers.........zemarcopolo!

    ReplyDelete
  4. ninaposema mengi namaanisha most of them in english....ukienda bongo utakuta vichwa vya habari ni vilevile kila siku, atoswa,aliwa uroda,jibaba labaka,buzi lachunwa n.k. halafu anakwambia kaandika mwandishi wetu...utapoteza pesa kununua habari ambazo ni vapour....
    tak care,emergencypoison.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...