kilele chenje theruji cha mlima meru kama kinavyoonekana kutoka mtaa wa goliondoi jijini arusha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. sikujua kama siku hizi mlima meru una snow. I miss AR

    ReplyDelete
  2. aisee arusha kama us tuu haaa sikujua kama ni mt meru nilidhani kl nilipoona tu kabla ya kusoma msg kumbe nao mrefu sana tu

    ReplyDelete
  3. Ajabu kweli kweli, wakati Kilimanjaro unakaukiwa theluji, Meru mambo yake si mabaya.

    ReplyDelete
  4. hii kama kijiji kwa shemeji yenu pale uswizi, safi sana.tena naiba hii picha. asante michuzi. kipepeo

    ReplyDelete
  5. Michuzi hii picha Inanikumbusha enzi za Ilboru High School. Manake Mt Meru ilikuwa few miles away, inanikumbusha miaka 18 iliyopita at Ilboru H.S. Thank you for the memory Michuzi

    ReplyDelete
  6. aisee hata mimi inanikumbusha ilboru...ila mimi ni miaka sita iliyopita.....cheers michuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...