cine club bado ipo. picha hii nimepiga leo asubuhi, nilikwenda kula supu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2006

    huyu mrembo asubuhi anafanya nini hapo alhamisi yote hii ndio wale wale!! achana na hayo mambo wewe kafanye kazi au kama umetoroka shule rudi haraka.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2006

    michuzi unakula supu tu cine watoto kule vyumba sita umewachia nini? au ndio wale wale wazee ambao home hapakaliki maana akigeuka huku baba naomba sh kumi nikanunua ashikilimu..

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2006

    Nadhani alikutana na rafiki yake alimpa offer ya supu, ninavyofahamu Michuzi ni muadirifu hawezi kuacha familia na kukimbilia kunywa supu kujinufaishaa yeye.Ingekuwa kama si hivyo asingetitangaaziaa hilo.Ila mbona inaonekana kama sehemu za Bagamoyo?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2006

    huyo demu hapo ndio supu aliyokwenda kula michuzi asubuhi hii si mnaona alivyopozi akisubiri kunywewa!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2006

    Michuzi hilo vumbi hapa upepo ukivuma kidogo tu si supu yoooooote haifai? Namna hii kweli minyoo inakosekana?

    ReplyDelete
  6. jamani mmeniona mimi niko kule nyuuma kabisa kwenye banda na mimi nakunywa supu

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 11, 2006

    mbona mnanisema nimewakosea nini? mimi ndio huyo dada hapo, na nipo hapa nimekuja kupumzika kwa kipindi cha wiki moja na ndio kwanza imeanza jana.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 11, 2006

    Kumbe ndo wewe umefuatwa na Michuzi! Michuzi unatuyeyusha ulikua umeenda kupata bao la kisigino kidogo kwa hilo toto la ughaibuni.

    ReplyDelete
  9. hahahaha!! jamani nilienda kula supu na kumhoji bod gadi, mmoja wa waasisi wa twanga pepete ambaye kapata mfadhili wa kitaliano amemnunulia vyombo vya muziki na ameanzisha bendi yake iitwayo euro khiari (usiniulize ufafanuzi, hakunipa)na anatumbuiza hapo toka ijumaa hadi jumapili, baada ya kutoka african staz miezi minne ilopita. bob gadi mwenyewe waweza kumuona nyuma ya huyu dada akiwa na mfadhili wake

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 12, 2006

    jamani hii site mke wa michuzi pia anaitembelea,lets be careful!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 12, 2006

    hao tayari ufadhili na UFADHILIIIII!!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 13, 2006

    Aungurumapo simba mcheza nani... anguruumaaa... angurumaa ngurumaa.. Bob Gadi.... anguruma... anguruma nguruma!!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 14, 2006

    haya Bwana Michuzi asante kwa ufafanuzi. Lakini ushauri wa bure kwa Bob GADI manake bwana wataliano hawaaminiki, hawanaga ufadhili wa bure bure lazima kuna kitu anamendea.. sasa ni kitu gani msiniulize...

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 16, 2006

    Anon. 9:01AM hilo sio vumbi we hujawahi kwenda ufukweni nini? huo mchanga wa ufukweni unameremeta pale cine club.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...