Home
Unlabelled
cine club
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyu mrembo asubuhi anafanya nini hapo alhamisi yote hii ndio wale wale!! achana na hayo mambo wewe kafanye kazi au kama umetoroka shule rudi haraka.
ReplyDeletemichuzi unakula supu tu cine watoto kule vyumba sita umewachia nini? au ndio wale wale wazee ambao home hapakaliki maana akigeuka huku baba naomba sh kumi nikanunua ashikilimu..
ReplyDeleteNadhani alikutana na rafiki yake alimpa offer ya supu, ninavyofahamu Michuzi ni muadirifu hawezi kuacha familia na kukimbilia kunywa supu kujinufaishaa yeye.Ingekuwa kama si hivyo asingetitangaaziaa hilo.Ila mbona inaonekana kama sehemu za Bagamoyo?
ReplyDeletehuyo demu hapo ndio supu aliyokwenda kula michuzi asubuhi hii si mnaona alivyopozi akisubiri kunywewa!
ReplyDeleteMichuzi hilo vumbi hapa upepo ukivuma kidogo tu si supu yoooooote haifai? Namna hii kweli minyoo inakosekana?
ReplyDeletejamani mmeniona mimi niko kule nyuuma kabisa kwenye banda na mimi nakunywa supu
ReplyDeletembona mnanisema nimewakosea nini? mimi ndio huyo dada hapo, na nipo hapa nimekuja kupumzika kwa kipindi cha wiki moja na ndio kwanza imeanza jana.
ReplyDeleteKumbe ndo wewe umefuatwa na Michuzi! Michuzi unatuyeyusha ulikua umeenda kupata bao la kisigino kidogo kwa hilo toto la ughaibuni.
ReplyDeletehahahaha!! jamani nilienda kula supu na kumhoji bod gadi, mmoja wa waasisi wa twanga pepete ambaye kapata mfadhili wa kitaliano amemnunulia vyombo vya muziki na ameanzisha bendi yake iitwayo euro khiari (usiniulize ufafanuzi, hakunipa)na anatumbuiza hapo toka ijumaa hadi jumapili, baada ya kutoka african staz miezi minne ilopita. bob gadi mwenyewe waweza kumuona nyuma ya huyu dada akiwa na mfadhili wake
ReplyDeletejamani hii site mke wa michuzi pia anaitembelea,lets be careful!
ReplyDeletehao tayari ufadhili na UFADHILIIIII!!!
ReplyDeleteAungurumapo simba mcheza nani... anguruumaaa... angurumaa ngurumaa.. Bob Gadi.... anguruma... anguruma nguruma!!!
ReplyDeletehaya Bwana Michuzi asante kwa ufafanuzi. Lakini ushauri wa bure kwa Bob GADI manake bwana wataliano hawaaminiki, hawanaga ufadhili wa bure bure lazima kuna kitu anamendea.. sasa ni kitu gani msiniulize...
ReplyDeleteAnon. 9:01AM hilo sio vumbi we hujawahi kwenda ufukweni nini? huo mchanga wa ufukweni unameremeta pale cine club.
ReplyDelete