Home
Unlabelled
jk ufaransa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yes Jk nakuaminia sana
ReplyDeletekikwete anaonekana sharp sana kwenye hizi suti zake, si mchezo.
ReplyDeleteNaona tumewapush waingereza pembeni kidogo kwa sababu hii ndiyo safari yake ya kwanza ulaya na ametua paris, lazima kina blair na malkia wanauma meno sasa hivi, wakijilaumu kwa kutuwekea ngumu na ile rada! what goes around come around baby!
tanzania tuna kibri pamoja na umaskini wetu.
ReplyDeleteYes, Presidaa!Aminiaaaaaaaaaaa!Sasa huko ni kuanza kunenepa au buleti-prufu?NO!SWETI!Tunakuaminia!
ReplyDeletekatika report iliyotolewa na ikulu ni kwamba rais kikwete alikuwa na majidiliano na french secretary for international cooperation.hakuna statement ya majidiliano na rais chirac!je huko marekani atakutana na Bush?
ReplyDeleteWewe ulitegemea huyu mzee aongee naye nini?
ReplyDeletechirac kachoka, sijui kapokea vingunge wangapi leo.
ReplyDeletelandani tunamsubiri BBC asijekuwa kama sumaye tu tafadhali,lugha hafifu na ya kunyofoa nyofoa!
Ratiba yake Marekani imekuwa siri hivi nasikia watu wa ubalozi wanahaha maana wananchi wanakuja kudai pasipoti zao kwa rais na pia zile $35 tulizokatwa kama ushuru wa kutuletea pasi zetu mpya majumbani kwetu leooo chapachapa denguuu
ReplyDeletemuhidin wewe hukupata picha ya JK na miss mchele(Rice) DC walikuwa wamependeza sana ! huyu mheshimiwa sijui aliomba ? ,maana haaminiki huyu!
ReplyDeleteKwani kama kamuomba rice kuna ubaya gani hizo ni personal interest zake lakini maslahi y wabongo anayapa kipaumbele tu....
ReplyDeletesidhani kama mchele angekuwa ameolewa na 'brother' kama wangempa nafasi kama hizi, ingecomplicate sana career yake, marekani bwana.
ReplyDelete