magari alokitumia rais wa kwanza wa zanzibar mzee abeid amani karume yamo jumba la ajabu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2006

    hii blaki kebu ya uingereza, tena inatumika hapa sasa, huyu mzee alikuwa mraha sana inaonyesha.

    ReplyDelete
  2. Hii migari inaonekana ni migumu na imara sana, hata likipata ajali gari halipati madhara sana na huwezi kwenda garage mara kwa mara kama unavyopeleka mark II yako,tatizo hii migari ina technology ya kizamani humu hamna cha power steering wala central loking systeam au ABS brakes kila kitu manual babaake

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2006

    Those cars would probably worth many hundreds of $$$ for car collectors.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 02, 2006

    Hivi hutu tugari tunapiga hata start au ndo mapambo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2006

    comments za kipuuzi, mavi yenu @*-!"??&£**"$£%^

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...