mwimbaji wa zamani wa vijana jazz kida waziri akiwa na watoto wake dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2006

    Alikuwa mwimbaji mzuri, je unajua anachofanya kwa sasa?

    ReplyDelete
  2. kida waziri hivi sasa ni mwanamuziki peke (solo, sijui...) na hivi karibuni anatarajia kutoa albamu yake mpya. hivi tunavyoongea yuko arusha akikamilisha mipango

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2006

    NAKUMBUKA ULE WIMBO WAKE WA"....WIFI ZANGU MNA MAMBO....MAMBO YENU YA AJABU!.......
    ENZI ZAKE KWA WANAWAKE NDIO WALIKUWA WAKALI WA TZ.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2006

    Hii si ndio ilikuwa Ngoma ya Hemedi Maneti. Mama na binti kama wanalingana vile wasipokuwa makini wahanga wanaweza kuwazunguka wote.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2006

    Bwana michuzi,tunaomba utuwekee picha ya yule marehemu muuza mitumba maarufu,MASAKUU.Kumbe yule bwana ni marehemu ndo nimeona leo ktk dar hot wire.Kweli tunakosa mengi ya nyumbani.Naomba upublish picha yake tafadhali.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.Amin.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2006

    hivi siku zote alikuwa wapi?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2006

    Kumbe Rudi Gullit ni mtoto wa Kida Waziri!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 20, 2006

    du muda mrefu nilikuwa nadhani kida alifariki, sijui hizi habari nilipata wapi? Naona alipotea kabisa, tunasubiri hiyo solothang yake!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2006

    Michuzi naomba tuwekee picha ya Marehemu Mzuri Nana Njige na Asia maana hawa ndio walileta changamoto kwa waimbaji wa kike hapa Tanzania bila kumsahau Tabia Mwinjelwa.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2006

    vipi ni ndugu wa Nyota Waziri?

    ReplyDelete
  11. tupe na picha ya hemedi maneti akiwa kazini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...