Home
Unlabelled
kipese
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
samahani ni swali tuu justin pamba nafanya biashara gani?
ReplyDeletetafadhali naomba tubainishie hapa
ANAUZA WATU
ReplyDeleteJamani kuna mtu anayejua Hussein Masha yuko wapi? kipese tusha jua ni kocha wa akina dada!
ReplyDeleteJustin Pamba unafanya biashara gani? Au labda majina yanafanana....tunaomba picha ya mfanyabiashara huyu.
ReplyDeleteWewe mwa-blog hujui kusoma au. kule juu Anony wa saa 10:57AM ameshatoa jibu la hilo swali lako. hatupendi kurudia rudia maswali humu unatupotezea muda bure.
ReplyDeleteKamwe sitasahau siku Yanga walipoikeketa Simba 3-1. Magoli yalifungwa na Kipese (wakati yuko Yanga. Yanga walimtoa TAMCO Kibaha), Makumbi Juma "homa ya jiji" na Sanifu Lazaro "Tingisha".
ReplyDeleteebwana mwaipopo hiyo game na mimi naikumbuka sana. Tingisha aliwasumbua sana simba mechi ile.
ReplyDeleteHivi anauhakika wote hao ni wanawake kweli?
ReplyDeletekweli nimeamini sasa mambo yamekuwa mengi enzi hizo hata wenzangu na mie tusiopenda mambo ya soka tuliwajua wachezaji hao kina thom kipese sanifu razaro mar gagarino,mogela mhhh yaani ilikuwa nzuri sana au labda niulize ni kwamba walikuwa wanacheza sana kupita wa sasa au mambo nayo yamekuwa mengi mjini hapa mpaka majina ya wanasoka wasasa kukaa kwa kichwa?
ReplyDeleteanony wa 5.21am hata mimi nimekuwa najiuliza same qsn maana naona kama ni mchanganyiko hapo? roughly nimeona vidume kama vitatu.
ReplyDeleteUwezo wako wa kukumbuka majina umepungua sana kwa sababu ya kula ndogo
ReplyDeleteMICHUZI MBONA LEO UMETUTOSA HUKO BRASILIA UNARUDI LINI. PAMEPWAYA HAPA LEO.
ReplyDeleteHusein Masha anakaa uk alionekana kwenye kituo flani cha train!! Basi inatosha!!!?
ReplyDeleteWEWE MICHUZI WACHA MAMBO YAKO YA AJABU TUWEKEE PICHA BWANA.
ReplyDeleteAnony 4:21 AM umenena. Ni kweli huyu kazi inataka kumshinda. Hivi kwanini unafanya hivyo wewe Michuzi? Umenogewa na Brazil mpaka unasahau wajibu wako? Hakuna internet cafe huko? Basi bora urudi nyumbani utfurahishe ukiwa ughaibuni ni shughuli unasahau Blogu.
ReplyDeleteAnony 4:21 PM umenena. Ni kweli huyu kazi inataka kumshinda. Hivi kwanini unafanya hivyo wewe Michuzi? Umenogewa na Brazil mpaka unasahau wajibu wako? Hakuna internet cafe huko? Basi bora urudi nyumbani utfurahishe ukiwa ughaibuni ni shughuli unasahau Blogu.
ReplyDeleteMichuzi tutakuwa tunazuia hizo safari zako za nje kama utakuwa unaendelea na tabia hii. Sisi wengine ndio tunaopitisha hizo safari shauri yako wewe jisahau tu.
ReplyDeleteANONY 7:07 AM NI KWELI KABISA HUYU HAJUI SIE NDO TUNAOPITISHA. "DOGO" JANA ANAJISAHAU SANA HUYU.
ReplyDeleteANONY 7:07 AM NI KWELI KABISA HUYU HAJUI SIE NDO TUNAOPITISHA. "DOGO" ANAJISAHAU SANA HUYU.
ReplyDeleteWe tanzanian-oslo, hii siyo blogu ya kujakujitangaza humu. Wewe kama hiyo blogu yako inalipa watu watakuja tu huna haja ya kuipigia debe humu. Ushauri wa bure,mwulize Michuzi amefanikiwaje bila kwenda kwenye blogu za watu na kupayuka, " oh mimi ndio Michuzi, eeh nitembeleeni kwenye mihela blogspot...".
ReplyDeletemhhh anony 8.16! mbona hasira!
ReplyDeleteMICHUZI UCHAWI WA HII BLOGU YAKO NI MAPICHA YA HOME,YANATUFARIJI BWANA,WE NA BRAZIL TU!HEBU TUTAFUTIE AMBAZO HUJAZITOA!
ReplyDeleteAU UJENZI WA CHOO UMEKUTINGA?LAKINI SI KIMEKUSAIDIA KETEST KAMERA MPYA?