mwishoni mwa 1997 nilibahatika kuongozana na baba wa taifa kwenda kigoma na hatimaye kwenye makambi ya wakimbizi wa kirundi. hapa ni hoteli ya kitalii ya hilltop, kigoma. wa mbele ni aliyekuwa mkuu wa mkoa huo wakati huo, athumani ukiwaona ramadhani ditopile wa mzuzuri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2006

    michuzi nilikuwa sifahamu kigoma kuna hoteli kama hizo je ni moja tuu au kuna zingine pia?mbona hawamo kwenye internet registry?pia vilevile kuna vivutio gani vya utalii kule ukiacha sokwe wa gombe na ziwa Tanganyika?vipi hali ya usalama huko?maswali yangu ni mengi kwa sababu naweza kupita huko na familia kutoka ughaibuni mwaka kesho?shukran.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2006

    Michuzi, tunaomba picha za UKIWAONA RASHID MWINSHEHE DITOPILE MZUZURI akiwa na kidosho mikumi national park.
    Na yuko wapi huyu asherati!?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2006

    Maskini siku chache kabla ya Mzee kudedi....

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2006

    Nani amepata fursa ya kusikiliza hotuba za bwana Mzurizuri?Huyu bwana kweli nakubali ni muasherati,wengine wote wanasingiziwa tu!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2006

    Braza Ditto sasa hivi ni Gavana (RC) wa Tabora... Naona kapelekwa bara akawape vionjo vya town kidogo... Huyu bwana na JK damu-damu...

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2006

    mmh! hivi jamani hilo jina la Ditopile linaandikwa lote kwenye passport au??

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2006

    Anonymous wa 8:15. yaani I give you thumbs up. Muasherati mkubwa huyo ni wazi kabisa wengine wanasingiziwa tu. Lakini Bwana michuzi nina ombi kubwa. Maana kuna mtu ambaye pia ni Muasherati mkubwa sana, Peter Rupia ni mtoto wa Paul Rupia. Sifa zake chafu sana, Mkewe Anna Kahama kamwacha na uasherati huo. Lakini ana mdomo mtamu sana na pia huenda anatumia nguvu za giza, Maana bado anafanikiwa kuwagilibu dada zetu wazuri anatoka na wengi tu miongoni mwao dada zetu watanzania na wadada ambao si watanzania, na aliua mtu shambani kwake kwa kuwa huyo mtu (mfanyakazi wake ilibainika kuwa aliiba kiwango cha pesa laki moja) lakini kama unavyojua nchi yetu ukiwa na pesa kila kitu poa. Basi kesi ikafutwa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 02, 2006

    Sasa wewe aonymous wa 12:31pm mbona unaunyaunya tu? hilo ombi lako kubwa ndo lipi katika hiyo posting yako? Muwe mnajiandaa, sio kulipuka tu!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 02, 2006

    Ombi langu kubwa ni kwamba kama kuna uwezekano, abainike huyu mtu. na kama yaliyosemwa hapo juu, nikasapoti mzalendo aliyemtaja huyo Muasherati, na kwakuwa kweli si yeye tu nami namjua huyu muasherati mwingine, ndio nikatoa maoni yangu na pia kusapoti maoni ya mzalendo mwenzangu, kwani si ndio maana tuko kwenye hii blogu? ili mzalendo mwingine labda ataona na anafahamu huyo anayezungumziwa, na hivyo ndio wazalendo wanakuja jamvini pia kutoa maoni yao. Labda hukunielewa. kwa hiyo naomba radhi, lakini hilo ndio lililokuwa ombi langu. Poa.

    ReplyDelete
  10. Huyu asherati amekuwa afriti.Amemuua dereva nwa daladala naye atauawa pamoja na Sadaam Husein.Utetezi aliofundushwa na Tibaigana eti " ni bahati mbaya" ni upuuzi mtupu. Yeye ni askari anajua kuwa bastola haina kazi ila kuua.Naye anajua ukimpiga mtu risasi kichwani lazima atakufa.Bora akanyee mtondoo hadi kesi itakapoamuliwa ili anyongwe hadi kufa.Huko jela atakutana na afriti kuliko yeye nao watamfunda.
    Namwomba JK asiingilie kati aache sheria ichukue mkondo wake.

    ReplyDelete
  11. Siyo vizuri kuanza kumtupia kashfa Mheshimiwa Ditopile katika wakati huu mgumu wa maisha yake. Mimi naendelea kuamini hakuwa na kusudi la kuua. Kosa lake ilikuwa kutoa silaha kwa nia ya kutishia. Mnaonaje akisamehewa ila asirudie tena????????

    ReplyDelete
  12. Pamoja na kuwa Ditopile kapiga mtu risasi, tunakuwa wakati mwingine na "moment of madness" hivyo basi hakuna kinachi "justify" kumnyonga Ditopile. (shishabikii Kuua). Hukumu ya kunyunga watu hadi kufa ni ushenzi uliokosa utaarabu usioweza kufikirika...
    ditopile aishi na Sadam aishi...

    ReplyDelete
  13. Kweli Bro Dito kakosea,unaweza kuona kupitia usoni kwake.anajuta.afikiriwe asiuliwe wala kunyongwa.
    Nimekuja kushangaa kumwita Dito muasherati.je wewe usemaye hivyo una mademu wangapi. au ni Bikira wa kiume.Acheni kusema na kukemea mabo msiyoweza kujizuia.Kama ni hivyo tu bas tuna waasherati wengi tena zaidi ya asilimia stini ya wabongo(waume).Huenda kwakuwa Dito anafahamika sana ndio maana kila anapokwenda anaonekana.Je wewe mwenzangu ungekuwa unakubaliwa na kila demu unayemtokea si ungekuwa zaidi ya huyo Dito.jamani huu sio muda wa Kumsimanga Bro.Je ungekuwa wewe.
    Pole sana Bro Dito

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...