nuta jazz oktoba 30, 1970. f.mtimkubwa hebu tupe listi hiyo bwana. uko kimya mno!
au ndio mambo ya samataimu tena...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Aliye chuchumaa chini kushoto ni Ghurumo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2006

    Mzee, umenipeleka mbali sana. Juzi juzi mshikaji wangu mmoja aliibulia cd kipusa ya Msondo aliyonunua toka Duty Free Shop, Jomo Kenyatta International Airport. Basi imekuwa nongwa kila nikiiona lazima nivurumishe kibao cha Wakulima, Msondo Namba II, III, na IV. Mjomba jamaa walikuwa wanashusha shughuli kali.

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...