winga machachari wa zamani wa simba thomas kipese sasa ni kocha wa timu mpya ya wanawake iitwayo dar sisters, ikiwa chini ya mfanyabiashara mashuhuri justin pamba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2006

    samahani ni swali tuu justin pamba nafanya biashara gani?

    tafadhali naomba tubainishie hapa

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2006

    ANAUZA WATU

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2006

    Jamani kuna mtu anayejua Hussein Masha yuko wapi? kipese tusha jua ni kocha wa akina dada!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2006

    Justin Pamba unafanya biashara gani? Au labda majina yanafanana....tunaomba picha ya mfanyabiashara huyu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 18, 2006

    Wewe mwa-blog hujui kusoma au. kule juu Anony wa saa 10:57AM ameshatoa jibu la hilo swali lako. hatupendi kurudia rudia maswali humu unatupotezea muda bure.

    ReplyDelete
  6. Kamwe sitasahau siku Yanga walipoikeketa Simba 3-1. Magoli yalifungwa na Kipese (wakati yuko Yanga. Yanga walimtoa TAMCO Kibaha), Makumbi Juma "homa ya jiji" na Sanifu Lazaro "Tingisha".

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 18, 2006

    ebwana mwaipopo hiyo game na mimi naikumbuka sana. Tingisha aliwasumbua sana simba mechi ile.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 18, 2006

    Hivi anauhakika wote hao ni wanawake kweli?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 18, 2006

    kweli nimeamini sasa mambo yamekuwa mengi enzi hizo hata wenzangu na mie tusiopenda mambo ya soka tuliwajua wachezaji hao kina thom kipese sanifu razaro mar gagarino,mogela mhhh yaani ilikuwa nzuri sana au labda niulize ni kwamba walikuwa wanacheza sana kupita wa sasa au mambo nayo yamekuwa mengi mjini hapa mpaka majina ya wanasoka wasasa kukaa kwa kichwa?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 18, 2006

    anony wa 5.21am hata mimi nimekuwa najiuliza same qsn maana naona kama ni mchanganyiko hapo? roughly nimeona vidume kama vitatu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 18, 2006

    Uwezo wako wa kukumbuka majina umepungua sana kwa sababu ya kula ndogo

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 18, 2006

    MICHUZI MBONA LEO UMETUTOSA HUKO BRASILIA UNARUDI LINI. PAMEPWAYA HAPA LEO.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 19, 2006

    Husein Masha anakaa uk alionekana kwenye kituo flani cha train!! Basi inatosha!!!?

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 19, 2006

    WEWE MICHUZI WACHA MAMBO YAKO YA AJABU TUWEKEE PICHA BWANA.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 19, 2006

    Anony 4:21 AM umenena. Ni kweli huyu kazi inataka kumshinda. Hivi kwanini unafanya hivyo wewe Michuzi? Umenogewa na Brazil mpaka unasahau wajibu wako? Hakuna internet cafe huko? Basi bora urudi nyumbani utfurahishe ukiwa ughaibuni ni shughuli unasahau Blogu.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 19, 2006

    Anony 4:21 PM umenena. Ni kweli huyu kazi inataka kumshinda. Hivi kwanini unafanya hivyo wewe Michuzi? Umenogewa na Brazil mpaka unasahau wajibu wako? Hakuna internet cafe huko? Basi bora urudi nyumbani utfurahishe ukiwa ughaibuni ni shughuli unasahau Blogu.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 19, 2006

    Michuzi tutakuwa tunazuia hizo safari zako za nje kama utakuwa unaendelea na tabia hii. Sisi wengine ndio tunaopitisha hizo safari shauri yako wewe jisahau tu.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 19, 2006

    ANONY 7:07 AM NI KWELI KABISA HUYU HAJUI SIE NDO TUNAOPITISHA. "DOGO" JANA ANAJISAHAU SANA HUYU.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 19, 2006

    ANONY 7:07 AM NI KWELI KABISA HUYU HAJUI SIE NDO TUNAOPITISHA. "DOGO" ANAJISAHAU SANA HUYU.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 19, 2006

    We tanzanian-oslo, hii siyo blogu ya kujakujitangaza humu. Wewe kama hiyo blogu yako inalipa watu watakuja tu huna haja ya kuipigia debe humu. Ushauri wa bure,mwulize Michuzi amefanikiwaje bila kwenda kwenye blogu za watu na kupayuka, " oh mimi ndio Michuzi, eeh nitembeleeni kwenye mihela blogspot...".

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 19, 2006

    mhhh anony 8.16! mbona hasira!

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 19, 2006

    MICHUZI UCHAWI WA HII BLOGU YAKO NI MAPICHA YA HOME,YANATUFARIJI BWANA,WE NA BRAZIL TU!HEBU TUTAFUTIE AMBAZO HUJAZITOA!
    AU UJENZI WA CHOO UMEKUTINGA?LAKINI SI KIMEKUSAIDIA KETEST KAMERA MPYA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...