Home
Unlabelled
ledi jei dii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi hii band yake haifanyi maonesho kama bendi nyingine mfano Twanga, Msondo na kadhalika kama wanafanya naombeni ratiba yao ya wiki. Kuna nyingine inaitwa Top Band ya TID nayo hivyohivyo au zina piga sehemu maalum tu na kwa mialiko rasmi
ReplyDeleteJamani pamoja na kwamba usanii ni ajira naona kwa nchi masikini kama yetu mambo ya anasa[mabaa,clubs,bendi n.k]yamezidi.Vijana someni kwanza!Wazee sheghulikeni na mambo ya maaana!
ReplyDeleteTall.
WEWE ANYM 10:30,WASOME KWANZA NINI?KWANI HICHO WANACHOFANYA SIO ELIMU?WEWE ELIMU KWAKO NI BAIOLOJI,FISIKIA AU KUKAA DARASANI UPATE KARATASI.
ReplyDeleteKOFI HAJASOMA?PAPA WEMBA HAJASOMA?(SITAJI WAZUNGU)
LABDA UTOE USHAURI KUWA WAJIENDELEZE ZAIDI KATIKA HIYO FANI YA MUZIKI.
TOFAUTISHA KIPAJI NA AJIRA.
wanamuziki wa kibrazili wakimuimbia mama rose asha migoro
ReplyDeleteWewe acha hizo, Papa Wemba shule imeenda usimfannanishe na wajinga wajinga wengine.
ReplyDeletewe anony 12.30 tafiti kabla ya kubwabwaja. kofi umsemaye kama ni olomide soma hapa. siwezi kutafsiri kwa kiswahili sanifu kwa kuwa lugha yangu ya kwanza ni kichaga. tafasali nduku yangu.
ReplyDeletehttp://www.panafricanallstars.com/biography/kofiolomide.asp
Wewe anony 12:20 Nani kakuambiwa Kofi hajasoma? Kofi kasoma mambo ya Economics yule kabla hajageuzia kibao kwenye music. Pia kufanya music hakumzuii mtu kusoma siku zote formal elimu ni muhimu kwa faida yako. Wanamuziki watakuwa wanamuziki wazuri zaidi kama watakuwa wanamuziki wasomi.
ReplyDeleteIf education is the key why they make so expensive? Give them the key.
ReplyDeletesam
NIMEKUULIZA;HAJASOMA?MAANA YAKE NI KWAMBA PAMOJA NA ALIYOSOMEA,AMEAMUA KUPIGA MZIKI KWA KUWA KWAKE NI KIPAJI NA ANAONA NDIO KINAMLIPA. POLE KWA KUMISIANDASTENDI!
ReplyDelete