juma necha na familia yake ya kiumeni. kwenye kili music awards safari hii necha na mastaa kibao kama vile ray c, ledi jei dii, mista bluu, duli saiks, mwanafalsafa na wengineo hawakuchaguliwa kushindania tuzo. waliomo ni profesa jei, mb dogg, keisha, tid na wengine wengi wapya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2006

    Jamani hawa ni wajamaika wapiga regge,sasa sijui tuwaweke kwenye bongo flava au get up stand up

    ReplyDelete
  2. jamaa wako wengi hawa halafu wanakula hao kama unabisha nenda kwenye chimbo lao nyuma ya uwanja wa taifa (indoor)karibu ya walichotaka kukifanya kijiji cha michezo, halafu huyu KR mullah huwa hapigi mswaki meno ya njanooo kama kapaka binzari

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2006

    Naomba kuuliza ili uwe kwenye hili kundi la wanaume lazima uwe raster au? Mheshimiwa Temba ni upi kati ya hao wanaonekana pichani.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2006

    hawa jamaa nawakubali.,ujumbe wao kuhusu maisha ya uswahilini na ya mlalahoi wa TZ wapendeza.,utakugsa hata kama ni watokea obay.,nafuata/penda messege yao but si lazima nifate matendo,.,.

    ReplyDelete
  5. anony 10:02 - mh. temba ni wa pili kushoto, na mwenye kivalio kichwani ni necha mwenyewe

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2006

    Hawa vijana hatari sana yani wanfanya mambo kwenye Bongo flava mpaka raha, na ni wabunifu si mnaona ile style yao ya kucheza kali kishenzi ndio wako kwenye chati sasa....

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2006

    Wanakuambia si ulipenda Chai chai iweje unalalamika unaunguaaaaa!!!!!Wakati wa kufanya Ngono ahaa safi ila sasa likishakukumba LIKIDATU malalamiko kibao oOOh mara wananinyanyapaa mara nini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...