Home
Unlabelled
raggeh
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bw.Michuzi huyu Rage wakati huo sio kwamba alikuwa kiongozi wa DRFA?
ReplyDeletemzee nilikuomba picha ya simba na stella sikupata majibu, labda haukuona message yangu. Tuionyeshe kina boli zozo mzee. Hata hivyo nitajaribu kuwasiliana na wewe kwa simu.
ReplyDeleteIsmail Aden Rajje!!! ananikumbusha songi la kikundi fulani cha wazaire wa bongo (Nimesahau jina la kikundi)
ReplyDeletePamoja na kwenda kupasha misuli moto huko Ufaransa Simba wakakeketwa tu, bila ganzi.
ReplyDeleteMwaipopo umetumia anony kwa muda mrefu uzalendo umekushinda umeamua kutoka live kwa passport size yako. Karibu sana
ReplyDelete