wanawake wa shoka bongo: saida simba kilumanga (wima) na dada asha wa baraka. asha anafanya barrick gold na dada asha anafanyakazi bima na pia anaendesha bendi za twanga pepeta - international na chipolopolo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2006

    Michuzi weka picha ya Vicky Kamata, naye ni mwanamke wa Shoka hapa Bongo. "Wanawake na maendeleo"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...