wanja jipya la taifa likifunguliwa adha kama hii itakuwa hakuna tena

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2006

    michuzi mziray bado yupo tuu maana watu walipiga domo sanaa ohhooooo kau.....watu wengi sana mhh mimi sasa naanza kuona kuwa uwongo mwingi sana baina yetu na tunapenda sana kuharibiana majina mtaani.

    ReplyDelete
  2. Namuona kocha wangu mlimani UDSM (ingawaje nilikuwa napangwa mara chache timu ya chuo)

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2006

    hiii haitokani na ufinyu wa uwanja hawa watu ni wapenda sifa na kuonekana na si wastaarabu wangeweza kukaa jukwaan.sema misifa na kuuza sura ndiyo maisha yao....Me

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...