wasichana wa kibongo walioshinda michuano ya belly-dancing competition wakijimwayamwaya na akon jana usiku pale daimonjubiliii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Namwona Jackline John mtoto wa Ilala, binti jana kafunika vibaya sana,hawa mabinti wamecheza belly-dance jana mpaka Akon mwenyewe akafikiri yuko Jamaica, midume mikware jana wacha itoe macho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...