ndani ya ukumbi wa jengo jipya la bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kweli hilo Bunge ni zuri sana tena sana ila sijui kana kwamba thamani ya pesa iliyo tumika (Tsh 30.9 Billion) ina endana na project nzima.

    Nashukuru,
    Copyright 2006 MK

    ReplyDelete
  2. Mimi nadhani wamejenga hilo Bunge ili wasinzie vizuri. Pumbaf wote walio kubali lijengwe ilo jengo kwa pesa zote hizo wakati kuna watanzania wengi hawana ata pesa ya kununulia hedex, panadol au kununua msosi.

    Afrika siku zote itabaki kuwa masikini kwa uzembe wa viongozi wachache, Kuna idadi kibao ya vijana hawana ajira, Kuna barabara kibao mbovu yaani ni vumbi kibao, Kuna vituo kibao vya mabasi havieleweki ndani ya tanzania, Kuna omba omba, yatima, wazee kibao ndani ya taifa ambao serikali ingetumia hiyo pesa kuwasaidia.

    Yaani nina uchungu mkubwa kuona watu wanakalia matofali ya bilioni 30 na milioni 900 kizembe kizembe tu.

    Wenzetu wanakalabati vitu vya zamani na kuvitumia sisi tunajifanya ni marekani iliyopo Afrika kutumia pesa kizembe alafu hapo mimi nina uhakika watu kibao wameiba mamilioni kibao ya hiyo project ndio maana ni gharama hivyo.

    Tumshukuru MK kwa kuanzisha huu mjadala na wabongo sasa hapa ndio pa kutoa maoni yetu kuona hao Viongozi mlio wachagua wanavyo ongoza nchi na kuiba pesa za taifa na kuziifadhi ktk mabenki ya nje ya nchi na kusomesha watoto wao au watoto wao na hao Viongozi kufuja pesa zetu.

    SIKU ITAFIKA AMBAPO TUTACHOKA HAPO NDIPO WATAKAPO TUELEZA.

    ReplyDelete
  3. 30,900,000,000.00 TZS Tanzania Shillings = 24,629,363.941USD United States Dollars

    30,900,000,000.00 TZS Tanzania Shillings = 13,455,111.769GBP United Kingdom Pounds

    Kudadeki sasa mmeona huu uzembe? Mpaka lini hawa wazembe wataendelea kufanya vitu bila ya kufikiria?

    Kuna mahospitali mangapi hayana madawa? Au huduma kibao za kijamii zilizo chini sana ya viwango?

    Mwenye uchungu aendelee kutoa maoni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...