
jabali la muziki hayati marijani rajabu jana alitunukiwa tuzo (akiwa marehemu) ya mwanamuziki aliyetukuka na kuingizwa kwenye hall of fame jana wakati wa tuzo za wanamuziki bora wa tanzania. john mhina wa tanzanite na ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya tuzo hizo alipokea tuzo hiyo kwa niaba ya 'dozza' toka kwa maneno mbegu, meneja uhusiano wa bruwarizi
well done john mhina, we are proud of you. mmhhh and you still look young man, tell me your secret.......we tanzanians are really proud for having such a tallented musician like you. Michuzi you have now brought really good people in this blog, am happy this evening.
ReplyDeleteOoooh bado yupo na kang'ara huyo joni muina. ki vipi? mbona inajulikana mkewe aliondoka na ngoma? mmh sasa naona habari zile zilikuwa si za ukweli. Lakini bwana michuzi walipoenda uarabuni mbona yule mwanamke wake (betty) alimwacha kwenye mataa? akaondoka na mwarabu, mashallah! pesa hizi zinawababaisha kweli dada zetu wabongo. Usiwe na wasiwasi kaka, poa tu.
ReplyDelete