nasalimiana na profesa ngugi wa thiongo alipotembelea dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi, unajua kuwa picha kama hii inanikuna. Hizi ndio picha ambazo nikiziona ninatamani nikupige kofi la kukupongeza! Ngugi kazi zake zilinifungua macho kwenye masuala ya utamaduni na kujenga tabia yangu ya kupenda kusoma. Nilianza kumsoma toka akiwa na jina la kikoloni, James Ngugi.

    ReplyDelete
  2. Bwana michuzi na wote mnaotuma maoni yenu n a maswala mbalimbali katika blog hii ,maswala ambayo yanawagusa watanzania kwa maslahi yetu yote.Naulizwa swali moja.
    Je maoni yetu yanawafikia wale viongozi wanaotuongoza au mawazo haya yanishia kwenye blog peke yake??!
    Je man maoni gani kama huyu bwana angetengeneza gazeti la kutoa maoni yetu kwa uwazi? naamini kuna mawazo ya msingi na ya maana sana katika blog hii lakini mengi yanaishia katika blog basi.

    Hayo ni maoni yangu mwanakwetu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...