mojawapo ya picha zangu ninazoziheshimu sana ni hii ya wananchi wakipokea mwili wa mwalimu uwanja wa ndege dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi,
    Picha kama hizi huwa siwezi kujizuia kukwambia "asante sana." Hizi ndio picha ambazo tunatakiwa kuziweka kwenye kundi la "kumbukumbu za kitaifa." Kazi unayofanya ni kubwa. Tuko nyuma yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...