sio siri kwamba endapo wanenguaji hawatokuwepo twanga pepeta basi african stars ni wazi itayumba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2006

    kwa kweli african stars na wanenguaji naweza sema "they complement" each other, mfano chipolopolo hawategemei wanenguaji kabisa, wanao ndio lakini sio ndio kichwa au kivutio pekee kwa bendi... so wanenguaji ni sehemu ya bendi ndio lakini sio kila kitu kwa twanga pepeta. Ila uongozi wa bendi hio uko makini, safi sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...