kuna atayeweza kujua kwa nini nimeposti picha hii?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ujambazi ulitokea njia ya kwenda Mwenge sio hapa.hii picha imetolewa kwa sababu ya mandhari nzuri ya barabara pamoja na miti, na hiki hapa kulia ni kiwanda cha Thomas Lyimo, hapa palishutumiwa kwamba ndipo palipo tengenezwa bomu lililo lipua ubalozi wa USA mwaka ule

    ReplyDelete
  2. Hapo ni Kimara lakini heading ni Ubungo.

    ReplyDelete
  3. Trafiki wamejificha nyuma ya miti, magari yanapita katika njia za waenda kwa miguu. Miruko

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2006

    hhiyo picha inaooonyesha kwa jinsi gani dar inavyoonkana imetulia kwa mbali lakini ukiingia ndani utayo yaa kuta nime ngi zaidi

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2006

    Bwana Michuzi hapa kisicho cha kawaida naona upande wa kulia ni ile DCM nyuma ya lori la bluu ambayo inakwenda kinyume na magari mengine.

    Si mbaya kama utatutegulia kitendawili chako.

    ReplyDelete
  6. angalia mwanafunzi karibu na mti

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...