haya mavitu tunayo kibao hapa bongo ila soko la nje hatuna ujanja kulisaka kama walivyo wenzetu kama vile marekani kusini na afrika kusini. mlio ughaibuni dili hili!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tanzania imebarikiwa kwa kila kitu toka ktk mazao, madini, watu wenye amani na Upendo, pamoja na hifadhi za wanyama, Gas na Petrol ila tatizo linakuja Serikali na barozi zetu za nje hazifanyi kazi kubwa ktk kulitangaza taifa na kutafuta wawekezaji walio serious watakao kuja kuwekeza ndani ya nchi.

    Tanzania ina nunua sana bidhaa za mataifa mengine lakini sisi wenyewe hatuna soko kubwa nje ya nchi litakalo wezesha kwa sisi kuuza bidhaa zetu na ndio maana thamani ya pesa yetu na uchumi wa taifa una shuka kila mara na ata kama ukipanda basi ni kwa asilimia ndogo sana.

    Pia ina bidi kuelimisha kila raia kujifunza kununua bidhaa za ndani ili kuwasaidia wafanyabiashara wa ndani na kuongeza pato la taifa.

    Mwisho, Kila mtanzania inabidi awekeze ndani ya nchi, pia Serikali pamoja na balozi zake kokote kule ziweze kulitangaza taifa kwa nguvu kubwa na sio kwenda kutembea tu na muda ukiisha wanarudi nyumbani bila ya kufanya lolote la maana na kuipatia taifa hasara kubwa sana tena sana kwa kuwalisha bure na gharama mbali mbali huko walipo.

    Nadhani sitokuwa nimewaudhi baadhi ya wasomaji wengine, Kama mtakuwa mmeudhika kwa yote nawaomba mniwie radhi.Ukweli utabaki ukweli.

    Nashukuru,
    Copyright 2006 MK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...