katika pekuapekua zangu nimevumbua jarida hili na kuona si noma kuwakumbusha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Enzi hizo nilikuwa ndio nimemaliza middle school minaki, wakati huo kuna cartoon za chakubanga, mzee mzima nilikuwa na mashati mawili ya kunguru na degrizi moja, kila outing pamba ni hizo hizo tu ukiona nimebadili uje nimeazima, colgate mpaka nairobi, kulikuwa na sabuni zinaitwa pundamilia, ukitumiwa barua unafuta muhuri kwenye stamp halafu stamp unaitumia tena

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2006

    Bw. Michuzi,
    Hivi inawezekana vipi haya magazeti ya akina Spear na Victor yakapatikana japo tukajikumbusha ENZI hizooooooo ???
    Tuletee hata hayo ya zamani kama bado yanapatikana kwenye maktaba zenu/zetu japo tujikumbushe enzi hizo !

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2006

    BW. MICHUZI,

    WATAFUTE WAHUSIKA TOKA NIGERIA (I THINK THE VERY COUNTRY USED TO PUBLISH THOSE PICTORIAL MAGAZINES !!!) JARIBU KUWASILIANA NAO TUONE KAMA YANAWEZA KUPATIKANA !

    ReplyDelete
  4. Michuzi, una hatari weye! kwa hakika hapa unanikumbusha mbali sana...namkumbuka Lance Spearman, Captain Victor, Mwanadada Sonia na bwana mdogo Lemmy. nadhani gazeti lao lilikuwa linaitwa African Film lakini tukaishia kuliita gazeti la Spia....nakumbuka pia akina Rabon Zollo, akina Jikka Jakka. Halafu kulikuwa na lingine la Boom ambalo starring alikuwa Fearless Fang..hivi haya magazeti tunaweza tukayapata wapi, jamani....??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...