bendi ya fm akademia ulingoni. hawa jamaa wanatesa sana kwenye anga hii na ni tishio pekee la twanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hawa jamaa sio tishio kwa Twanga bali wana jaribu jaribu, kwanza ukumbi wanaotumia ni wa ASET halafu walikaa muda wa miaka minne bila kutoa albam wakati twanga kila mwaka wana album na zina hit, pia miziki yao inatofauti kubwa. Ila jamaa wanatisha kwa kupiga pamba na bendi yao haina mateja na walevi kama twanga na jamaa wanajua kujituma jukwaani na wanamuziki wote wanafika ukumbini at time, twanga mpaka saa 6 usiku ndio unawaona mastaa wanaingia

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2006

    Rhxogsa, mimi sizijui bendi zote hizo zaidi ya kuwaona kwenye VCD na kusikia CD zao. Ila kutokana na uliyosema hapo juu, hayo tu inamaanisha ni tishio. Kama wenzio wanajituma na si walevi wala mateja, it is just a matter of time watakupiku kama hujirekebishi. Peace.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2006

    Mbona hao watu wenyewe wanaonekana wamechooooka! Kwa nini msiwalishe lishe kidogo kwanza?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...