chuo kikuu kipya makumira

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2006

    Hivyo TZ watu zaidi ya 30mills. Kuna vyuo vikuu vingapi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2006

    unauliza hilo tena ndugu yangu we acha tu maana unaweza kusikia kichefuchefu bure..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2006

    Tri Kaka nakusaidia pale Kasoro Bahari kuna CHUO KIKUU CHA SISI WAISLAMU katika majengo ya TANESCO, ni chuo kizuri sana kinalenga kutoa nyanja zote za taaluma. MKWAWA sekondari(Complex) kimefanywa kuwa Chuo Kikuu, Amon Nsekela Bank Academy kule Iringa nacho ni tawi la St.Augustine basi nataka kusema vyuo vikuu kibao, bado cha Chimwaga. Nataka hata shule yangu Junior Seminary pale MG iwe chuo kikuu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...