17.3.1972 - mbaraka mwinshehe mwaruka akimvika mke wake amney shadad pete ya ndoa huko morogoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2006

    Hey Michuzi hii ni picha safi sana kwa sisi......nice memory!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2006

    Hivi mke wake yu hai? je watoto wake?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2006

    sijawahi kuona wanawake wazuri kama wasichana wa miaka ya sitini na sabini jamani mhh hata wasichana wa sasa hatuko hivyo najaribu kufikiria sana na hiki kitu kinaniumiza kichwa tukianza kufika 50's tutakuwaje? VITUKO.....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2006

    Unajua kwa nini sista hapo juu? wasichana wa miaka ya sitini na sabini walikuwa hawataki kufanana na beyonce wala jlo. Walikuwa wao ndio wao. Wasichana wa siku hizi, rangi ya sura feki, nywele bandia, uanamke wake unanuka kwa kuvaa mavazi ya nchi za baridi ndani ya bongo, basi ili mradi vurugu mechi tuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...