sirikali imekuwa ikiyapa taff mashindano ya ulimbwende tangia yalipoibuka upya mwaka 1994 baada ya kupigwa top mwaka 1997. hapa waziri wa utalii hamad alikuwa mgeni rasmi kwenye miss tz 1994 ambapo aina maeda aliibuka kidedea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2006

    Mheshimiwa Michuzi, kama kumbukumbu yangu haijaingia maji, mgeni rasmi wa mashindano hakuwa Mh. Kikwete, wakati huo akiwa waziri wa fedha? naomba nisaidie kidogo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2006

    hivi maeda yuko wapi? she came, she saw, she conquered, and then disappeared!

    ReplyDelete
  3. kaka anony, hii picha nilipiga baada ya aina kuvishwa taji siku hiyo. naona inajieleza ukizingatia mgeni rasmi ni huyo mh. waziri hapo

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2006

    Nakubaliana na Anony wa pili, ni kweli huyu dada alivuma sana lakini sasa kadisapia, Lakini ndio ilivyo, hawa kina dada wakishapata u-miss wanapata ka-umaarufu hivi wengine wanajisahau hata kurudi na kujiendeleza na masomo kama walivyokomenti kwa picha ya Nancy Sumari, halafu baada ya miaka kadhaa, wanadisapia, hata yule Shose Sinare, ni hivi hivi ila tu alikuwa na sifa mbaya ya ngono, ingawa anapenda kutiwa kinyemela.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2006

    Huyo Aina ni mtoto wa Ughaibuni, TZ ni hollidays au family immegence tu! So do i.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 24, 2006

    Mnataka mumjue and find out her dirt halafu muanze kumtukana kama kawaida eeh?? waswahili bwana!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 24, 2006

    Aina bwana acha ajichimbie tu kama mnavyosema Ughaibuni. Wabongo bwana sasa wanaulizia wapate story zake na yuko wapi they want to dig up her dirt halafu waanze kumchambua. Jichimbie tu dada, na nawaomba mnaomfahamu karibu, PLEASE, msitoe habari zake, wajambejambe tu hawa wambea. shenzi type.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 24, 2006

    Wewe annoy Sunday, July 23,2006:2:31:27 PM mbona unapenda sana kumsema Shose kuwa "anatiwa kinyemela".nISHAFUATILIA NYENDO ZA MAONI YAKO KILA WAKATI UNASEMA HIVYO, KINYEMELA MAANA YAKE NINI!Jamani anao uhuru ila pale anapokosea labda tumsaidie lakini kumsema kila wakati haisaidii, sasa mnataka abaki bila kujisocilize hata katika lililo katika haki yake! fikiria kama utamtaka akakutolea nje!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 24, 2006

    Wewe anony wa hapa juu, naomba kwanza nikusahihishe, I think you are lacking on your vocabulary, anonymous au tunavyofupisha anony haina double " n" samahani lakini maana sitaki kuudhi mtu. Kuhusu Shose, nimetowa maoni kama mara mbili tangu bulogu hii ianze na mengine nimesapoti tu watu wengine ambao walitoa sifa zake chafu. maana nimeexperience humu bwana watu sio zuga wanamwaga ukweli sasa samahani sana kama Shose ni rafiki au ndugu yako itakuwa inakuuma kidogo, lakini hakuna kitu chochote personal, tunasema ukweli na kwakuwa mimi ni rafiki na watu wa karibu wa huyu Shose najua naongea nini. na ni kweli anahaki ya kutiwa anavyotaka ni uchi wake. Kinyemela maana yake ni kichinichini au kisiri, na ana haki ya kutiwa na watu wowote, humu maoni yanavyoanza huwa yanalead kwenye topic nyengine ambazo watu tuna refer, ndio mifano inatolewa kama ulivyoona. Pole dada au kaka maana inaonekana una uhusiano naye, lakini maisha ndio hivyo, na hii bulogu ya Muheshimiwa Michuzi imeleta maendeleo ya freedom of speech, watu wanamwaga ukweli tu. Infact nimeona maoni ambayo amekandiwa sana huyu Shose ambayo yangu wala hayafui dafu.Ni wengi walichangia. Asante.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 24, 2006

    Nashukuru kwa kosa la neno hilo, any way, ni kosa dogo lakini muhimu kurekebishwa asante. Maoni karibu yote juu ya SINARE na family unayatoa wewe. Ajabu ni kwamba u mwepesi sana wa kukiri kosa ila ninachoweza kusema nin kwamba kama upo karibu sana na marafiki wa SINARE ma familia yake basi ni umbea unaoleta hapa baada ya kuutafuta huko.Alafu unasema anafanya mambo hayo kisirisiri sasa ni kipi unataka, afanye waziwazi au unataka umwone uwanja wa FISI, apana ana personality yake bwana usitake kutafuta sababu kutoka kwa watu.Mimi si ndugu yake na wala simfahamu nimemuona tu katika blog ila nasema haya katika misingi ya haki na ubinadamu tu. Any way, ni mtazamo ambao unatumia darubini kali si kutaka tu kufurahisha bila sababu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 25, 2006

    wewe anony hapa usifanye watu hawana akili inazidi kubainika kuwa unauhusiano na huyu Shose Sinare, maana kama ndio ulivyo kubwatukia watu, wanaotoa siri za watu hapa, basi ungewabwatukia watu wengi, mana ni wengi sana waliosemwa humu ndani. lakini umechagua maoni aliyoshambuliwa Sinare, yalosemwa yote ni ya ukweli, na ndio maana ya blog hii. na mwanzoni kabisa watu wengi walitoa maoni machafu kuhusu Shose, na kama kawaida ya blog wazalendo wengi wanaingia kuchangia maoni na wenye jazba wanatoa hapo hapo, ila cha muhimu sio kusema uongo. Huyu Shose mimi najua anatabia ya kuwa na steady boyfriend lakini anatombwa na wengine pia, na nasikia ni familia yote ina sifa hii.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 25, 2006

    SAFI SANA ULIYOSEMA BI. ASHA. ANAUHUSIANO AU NI NDUGU, MAANA SI SHOSE SINARE TU ALIYESEMWA MAMBO MABAYA YA KUTIWATIWA, WALIVYOTOLEWA WALE MA-MISS MBONA HATA EMILY ADOLF ALISEMWA VIBAYA? MBONA HAJITOKEZI KUMTETEA ASISEMWE? UZURI WA WABONGO HAWAMKOPESHI MTU ZINAULIZWA C.V ZAO HAPA WATU WANAJITOKEZA WANAOWAFAHAMU NA KUSEMA YOTE. WENYE SIFA MBAYA WANATAJWA NA WENYE SIFA NZURI WANAPEWA SIFA ZAO, KAMA HAWA MA-MISS WENYESIFA NZURI WALISIFIWA KAMA ANGELA DAMAS, HAPPINESS MAGESSE, E.T.C

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 25, 2006

    Asanteni sana Kessy na Asha. Nimeshindwa kumwelewa huyu Anony lakini sasa ni wazi kuwa ana undugu na huyu Shose Sinare. Nashukuru kwa kukumbusha kuwa sio yeye Shose tu aliyechambwa kwa sifa chafu hata Emily Adolf pia, na ni wengi humu. Lakini ameamua kuingilia maoni ya Shose, ni wazi anauhusiano nae. Narudia nawashukuru sana, maana sina muda wa kujibizana na mtu ambaye anafikiri watu wote hawana akili ya kuweza kufigure out.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 25, 2006

    Swala halipo katika akili ila upeo, maana unapomsema mtu eti anatiwa kinyemela wakati hata wewe unamtaka unafikiria nini, jamani mambo ya sizitaki mbichi hizi tuyaache maana ukishindwa basi acha wala usiwe na donge. Ni mtanzania mwenzangu labda hapo ndipo undugu ulipo, familia ngapi watu wanatiwa bwana mbona hamzisemi, zenu zikoje na kigezo gani mnatumia akumsema mtu anatiwa sana. Acheni hayo sawa?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 25, 2006

    Nakubaliana na huyu anony hapo juu, kuna huyo jamaa hata watu wakizungumzia wali na maharage atamtaja huyo Shose Sinare, ooh kinyemela sijui nini, ulitaka akafanye mambo yake kwa BISMENI pale samora au? manake sioni chochote ambacho a billion others havent done before or even right now, halafu bila aibu unakubali kwamba unajuana na ndugu zake wa karibu na ndio source ya habari zako, mpaka hapo unadhirihishia ulimwengu jinsi ambavyo you are not trustworthy, hapa lazima kuna kitu personal, blaza kama alikutolea nje, move on to the next, there a tonnes of others, ndio uanaume huo, let the girl live her life, dude!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 25, 2006

    Hebu toeni mambo ya kijinga hapa kubishana na mambo yasiyokuwa na msingi ndio huyu jamaa labda kweli katolewa nje, lakini inaonekana amjua huyo Shose kwa undani. Ila sikubaliani na mtu yoyote anayezungumza na kutoa siri za watu, kwani binaadamu wote hatupo pafect, kila binaadamu anakasoro fulani. Lakini naona pia watu kama huyu anony aliyeanza kumtetea huyu Sinare mpaka anahisiwa kuwa ana undugu naye, je ni kweli maana nina mashaka kidogo, kama alivyosema huyo Kesy Mbona wamesemwa vibaya wengi tu kwenye hii bulogu? kati ya warembo sio Sinare tu alosemwa vibaya, amesemwa vibaya sembamba na yule mrembo MisTZ mwingine Emily Adolf kwa tabia hizi hizi za kutiwa na wanaume zaidi ya mmoja. Sasa kama watanzania wote ni ndugu zako na hupendelei, mbona hujamtetea Adolf aliposemwa? Na pia kama wewe ni muungwana kiasi hichi mama huruma, basi unakazi kubwa, maana kama unavyoona wametolewa siri wengi sana hapa wake na waume. Tetea wote basi. Mimi naelewa unavosema kuwa huna undugu nae wala humjui, lakini kwa pointi ninayoitoa kusoma maoni imebidi na mimi nichangie. Nasema naelewa kwanini wanakuhisi labda unaundugu ndio maana amekuuma huyu Shose, laa sivyo ungewatetea wote waliosemwa vibaya hapa. Jamani Acheni sasa kama alivyosema huyo aliyezusha hili janga la kumensheni huyu dada,kuwa mtawaboa watu wengine sasa, kwani hii topiki naona ndio inalidi sasa. Imetosha, mwenye donge kaa nalo maana huwezi kumstopisha mtu au watu kuongea wanayotaka kuongea.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 25, 2006

    nadhani pointi hapa ilikuwa huyo binti kurudiwa rudiwa kutajwa hata isipohusu, hao wengine walitajwa wakasemwa au kutukanwa (is the right word) yakaisha, lakini huyu na Rupia ndio kama chakula vile, na kama hamuamini watatajwa tena,fellas, its becoming boring now, tunahitaji mambo mapya jamani.

    ReplyDelete
  18. Nyinyi wabongo acheni uswahili wa kusema watu. Kila mtu ana maisha yake na malengo yake. Kama unataka kusaidia taifa, please jenga lako kwanza kabla hujaanza kusema wengine. Jengeni taifa vijana!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...